juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Salama kabisa lembu, Nilikuwa napita japo nilikuwa sichangiiNdg yuangu habari za kupotea tumekumisi sana
Ushauri wangu ni huu
Tusiziamini sana media kwamba Chelsea ilimsubirisha. Inaweza kuwa mchezaji ndie kajisubirisha na wala Chelsea hawakuwa na dili naye
Hadi sasa Chelsea haijawahi kupeleka posa zaidi ya mipasho ya mdomo tu.
Xavi Simon angekuja kuwa backup ya Palmer kwa sababu hawezi kucheza LW na striker role ina wenyewe. Sasa mchezaji wa Backup kumnunua kwa mil 60 sio fair.
Pia nasikia Maresca anampenda Fermin Lopez zaidi ya Xavi SimonsTusubiri kwanza tusiwe na harakla ya kuhukumu
Nadhan Enzo anahitaj mapumzikoJapo Enzo Fernandez kafunga lakini hajacheza vizuri sio tu hii game tangu game ya kwanza
| 🏟️ Mechi | 📆 Tarehe | 🤝 Mpinzani | 📍 Uwanja | ⏰ Muda (GMT) | ⏰ Muda (EAT) |
|---|---|---|---|---|---|
| 1️⃣ | 17 Septemba 2025 | Bayern Munich 🇩🇪 | Ugenini | 19:00 GMT | 22:00 EAT |
| 2️⃣ | 30 Septemba 2025 | Benfica 🇵🇹 | Stamford Bridge | 19:00 GMT | 22:00 EAT |
| 3️⃣ | 22 Oktoba 2025 | Ajax 🇳🇱 | Stamford Bridge | 19:00 GMT | 22:00 EAT |
| 4️⃣ | 5 Novemba 2025 | Qarabag 🇦🇿 | Ugenini | 19:00 GMT | 22:00 EAT |
| 5️⃣ | 25 Novemba 2025 | Barcelona 🇪🇸 | Stamford Bridge | 20:00 GMT | 23:00 EAT |
| 6️⃣ | 9 Desemba 2025 | Atalanta 🇮🇹 | Ugenini | 20:00 GMT | 23:00 EAT |
| 7️⃣ | 21 Januari 2026 | AEP Pafos 🇨🇾 | Stamford Bridge | 20:00 GMT | 23:00 EAT |
| 8️⃣ | 28 Januari 2026 | Napoli 🇮🇹 | Ugenini | 20:00 GMT | 23:00 EAT |
Karibu sana, michango yako ya dhamani sanaSalama kabisa lembu, Nilikuwa napita japo nilikuwa sichangii
Huyo Enzo ni tapeliTukiacha ushabiki huyu ni mchezaji wa kawaida, sio mbaya wala mzuri sana ana on off nyingi, angalia jitu Caseido kati ya mechi 10 9-8 anakuwa kwenye ubora usiotia mashaka
Kibaya zaidi ni untouchable kwa Maresca
Nicolas Jackson amegoma kurudi na Didie Drogba akaunga mkono
View attachment 3459124
Dili la Jackson kwenda Bayern limekufa baada ya Delap kupata majeraha. Wanafikiria kumbakisha
Huu ni muda muafaka wa kuwalazimisha Bayuern wafanye Obligation to buy. no way hatuwezi tena msimu ujao kuja kuendan na huy lijinga kiasi hikiHiyo mil 80 kumbuka ni option Kama watamuhitaji Bayern
Ila sijawahi kuona mchezaji mbinafsi na asiye na maamuzi sahihi kama Nicolas Jackson. Chelsea haijawahi kumkataa. Amepewa miaka miwili akiwa boss wa nafasi yake, akicheza kila wiki bila presha. Sasa timu imesajili washindani wa kumpa changamoto, badala ya kupambana, amekasirika na kutaka kuondoka.
Chelsea ikamkubalia, ikamwekea bei kubwa—lakini badala ya kuonyesha shukrani, amejiona kama Messi, akaongeza kiburi juu. Timu inazama, tunahitaji msaada, lakini yeye anafurahia kuzama kwa jahazi. Kagoma kurudi, wakati hata ule ulikuwa ni mkopo tu bila obligation ya kumnunua.
Chelsea wako sahihi. Kama ni hivyo, Bayern Munich walipe hiyo milioni 80 tuachane na huyu mwoga na mbinafsi. Nasema hivi kwa hasira, kwa sababu wakati mashabiki wengine walimuita “takataka,” sisi tulimtetea kwa nguvu zote. Tulimwamini. Tulimpenda.
A real coward. Sijui kama angekuwa kwenye nafasi ya Trevoh Chalobah, angefanyeje. God forbid.
Chelsea wanapaswa kutumia muda huu kulazimisha Bayern Munich wamnunue kabisa, au waweke clause ya obligation to buy—ili tuachane naye kabisa. Hatufai tena.
Japo Enzo Fernandez kafunga lakini hajacheza vizuri sio tu hii game tangu game ya kwanza
KAMBI YA JACKSON WAMEGOMA KUMLUDISHA MCHEZAJI
Nakupinga mkuu Enzo sio mchezaji wa kawaida ni kombe la Dunia winner angekuwa ni wakawaida Chelsea isingetoa pound 100m kumsajili na pia kumbuka kwenye hiyo michuano alishinda mchezaji bora kijana.Enzo Hana ile fitness nimeliona hili tangu pre-season atakaa sawa mechi zinavyozidi kwendaMkuu kuanzia leo weka akili mwako, Enzo ni mchezaji wa kawaida sana. Hilo takataka usije ukalipa imani saba.
Takataka anauzwa milioni 80 😀 😀 Sijawahi ona takataka ya naman hiyoHuyo takataka mtajua namna mtafanya maana wewe ndio kiongozi wa kutetea matakataka.
Takataka anauzwa milioni 80 😀 😀 Sijawahi ona takataka ya naman hiyo