Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Game nzuri sana. At least ubora umeamua. Jamaa wamekosa magoli kwa uzembe wao.

Delap yuko vizuri hajazingua game yake ya kwanza.
 
Pongezi kwetu timu bado inajijenga jenga hasa kwenye midfield
 
Attachments

  • IMG-20250617-WA0000.jpg
    IMG-20250617-WA0000.jpg
    255.9 KB · Views: 8
Madueke na Jackson siku zao zinahesabiika
Naona Neto na Willian wakiwa mawinga wetu msimu ujao, simjui Gittens akisajiliwa atapambanaje
Enzo Fernandez imekuwa tabia yake sasa kuja kwenye boksi kwa rela namba 8
Msimu ujao tutegemee double dijits kwa magoli na assists ya Enzo
 
Game nzuri sana. At least ubora umeamua. Jamaa wamekosa magoli kwa uzembe wao.

Delap yuko vizuri hajazingua game yake ya kwanza.
Ila timu inacheza very slow. Hii inawaruhusu timu pinzani kuziba matobo. Mnaona tulipoanza kucheza kwa kuchangamka magoli yaliingia haraka? Timu lazima icheze kiuchangamfu na bila kupoteza mipira ovyo maeneo ya hatari....jana imetokea mara 2....kidogo watoto wapate goli. Lichukue hili mkalitizame.
 
Ila timu inacheza very slow. Hii inawaruhusu timu pinzani kuziba matobo. Mnaona tulipoanza kucheza kwa kuchangamka magoli yaliingia haraka? Timu lazima icheze kiuchamfu na bila kupoteza mipira ovyo maeneo ya hatari....jana imetokea mara 2....kidogo watoto wapate goli. Lichukue hili mkalitizame.
Hili pia huwa naliona linakera sana
 
Naona Italian coach are outdated bado wanaamini kwenye soka kujihami zaidi na kuvizia individual mistake
Timu ni mwendo wa side pass na safe pass hakuna flow maalumu ya kushambulia timu inategemea uwezo binafsi wa wachezaji
Sijui kama kocha huyu ata advance mbinu zake kwa wakati kuendana na mahitaji,malengo ya timu
 
Ila timu inacheza very slow. Hii inawaruhusu timu pinzani kuziba matobo. Mnaona tulipoanza kucheza kwa kuchangamka magoli yaliingia haraka? Timu lazima icheze kiuchangamfu na bila kupoteza mipira ovyo maeneo ya hatari....jana imetokea mara 2....kidogo watoto wapate goli. Lichukue hili mkalitizame.
HAuwezi kucheza with the same momentum katika dakika 90. Kuna muda mnatoka mchezoni ila kuna muda ndio kama ivyo. Nadhani ni kati ya vitu kocha anayohaja kuvifanyia kazi. Ukikutana na timu kama Flamengo inakuadhibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom