lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Huyo ni striker mzuri sana, akikulia chini ya bkocha mzuri atakuja kutufaa sanaBenchi kuna mchezaji anaitwa Shumaira Mheuka
Huyo ni striker mzuri sana, akikulia chini ya bkocha mzuri atakuja kutufaa sanaBenchi kuna mchezaji anaitwa Shumaira Mheuka
HTTufungwe hii mechi maandamano yapambe moto
Kiwango chake kimeshuka sana na hapo Maresca lazima amechangia kwa kutomtia moyo tangu mwanzoni. Nadhani pia Jackson anainfluence kubwa na uchezaji wake mzuri. Ngoja tuone Jackson atakaporudiMagoli yote haya afu palmer hana hata moja 😂 dah
Wewe huwa unajizima data kila kitu unatetea tu utafikiri chawa wa ccm na chama chaoFilip Jorgensen ananifanya niumwe tumbo kila anapoanzisha mpira. Anazubaa na akipasi anatoa pasi mbaya kweli na karudia hivyo karibia mara nne tano. Nilikuwa namtetea ila sasa basi. Mjinga sana ananikumbusha badiashile anapokaa na mpira hadi anashi9ka kiuno. Mashabiki wanampigia kelele za kumzomea, na inaonekana hajagundua hilo hadi pale Colwill alipomlazimisha kuanza ili kupunguza mvutano wa mashabiki.
Baada ya kushindwa hivi karibuni, kundi la wachezaji wakubwa wa Chelsea walianzisha mkutano wa timu huko Cobham.Leicester City - WIN
Arsenal - LOSE
Tottenham Hotspur - DRAW
Brentford - WIN
Ipswich Town - WIN
Fulham - LOSE
Everton - DRAW
Liverpool - LOSE
Newcastle United - DRAW
Manchester United - DRAW
Nottingham Forest - WIN
Tufanye ni mchezaji mbaya haya leta takwimu za hao uliowataja wenye msimu mzuri Tufanye comparisonCole Palmer has created 35 chances in his last 14 Premier League matches without registering a single assist 🤯❌
Huyu ndo tuliaminishwa yupo daraja moja na kina Jude, Lamine, Jamal nk ! Ule msimu aliotea tu kwa zile numbers,,,, ! Cole wa kawaida sana, mpaka kocha ameanza kumtetea, imani inapotea
akileta unitagTufanye ni mchezaji mbaya haya leta takwimu za hao uliowataja wenye msimu mzuri Tufanye comparison
Mechi inayofuata baada ya soton ni lini?Chelsea kwa sasa hawana mpango wa kusajili golikipa mpya katika majira ya joto. Robert Sanchez, Filip Jorgensen na Djordje Petrovic watachuana kuwania golikipa nambari 1 msimu ujao. Kipa wa Genk Mike Penders atajiunga na majira ya joto na anazingatiwa kuwa na ubora wa hali ya juu sana.
Umeelewa kwanza kilichoandikwa??Cole Palmer has created 35 chances in his last 14 Premier League matches without registering a single assist 🤯❌
Huyu ndo tuliaminishwa yupo daraja moja na kina Jude, Lamine, Jamal nk ! Ule msimu aliotea tu kwa zile numbers,,,, ! Cole wa kawaida sana, mpaka kocha ameanza kumtetea, imani inapotea
Alhamisi ni UECL na CompenhagenMechi inayofuata baada ya soton ni lini?