Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimeshasema na nitaendelea kusema kama ambavyo ilikua toka msimu uliopita. Tatizo la Chelsea halipo kwa kocha peke yake lipo kwa wachezaji na bodi ya wakurugenzi wote. Au otherwise tuwe wavumilivu kwakua tunajenga timu basi tusubiri baada ya misimu miwili ndio pengine tutakuja kufanya vizuri hapa katikati tuendelee kuwa washika pembe wakati wengine wakijikatia minyama.

Kama tunataka ku challenge top 6 achana na kusajili watoto weka wachezaji wa kueleweka. Cheki Aston Villa usajili wa January ndio umetuua jana. Assensio na Rashford
 
πŸ”΅ Enzo Maresca: β€œThe performance and the reaction from the last game was good”.

β€œIt's a tough one, we didn't deserve to lose”.
 
Chelsea fc - 23/24
Nafasi - 6
Points - 63

Chelsea fc - 24/25
Nafasi - 6
Points - 43 (Bado mechi 12)
Mimi nilisha project kwa behaviour ya sasa hivi Chelsea itafikisha points 53 na haitazidi 56 na bado watu wanasema Maresca kafanya vizuri kwa sababu aliifikisha timu kwenye nafasi ya pili
Msimu huu namaba yetu ni 8-10. Hifadhi hii post

Chelsea iko ICU, na bado mabosi wanaonekana kuridhika na kocha huyo.
Katika mechi 10 zilizopita, tumeona
Tumefungwa mechi 5
Tumetoka sare mechi 3
ushindi kidunchu wa mechi 2 pekee

1740314564784.png

1740314989565.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom