Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea vs Copenhagen
1741280602682.png
 
Shim Mhueka, akiwa na umri wa miaka 17 tu, leo ataongoza safu ya ushambuliaji kama mshambuliaji wetu katika mechi dhidi ya FC Copenhagen. Ni nafasi nzuri kwa kipaji hiki kijana kuonyesha uwezo wake na kuleta athari kubwa uwanjani.
1741280708883.png
 
Copenhagen vs Chelsea: Summary ya Kipindi cha Kwanza
  • Shim Mhueka anaonekana kuwa kapotea kabisa
  • KDH anakimbia bila mpangilio wa kimkakati, hana mwelekeo.
  • Chelsea inakosa ubunifu katikati ya uwanja, jambo linalozuia uwezo wao wa kushambulia.
  • Neto anahitajika katika kipindi cha pili ili kuboresha hali ya mchezo.
Mabadiliko Yanayopendekezwa
  • Mabadiliko ya wachezaji: George, Mhueka, na KDH watolewe waingie Enzo, Nkunku, na Neto ili kuongeza kuirudisha Chelsea mchezoni.
  • Ushauri: Chelsea wanapaswa kuongeza kasi —wanacheza kana kwamba wako kwenye mazoezi pale Cobham."
 
Copenhagen watatutoa darajani.
Enzo Maresca: "Kuanzia sasa na kuendelea, Ligi ya Conference yote na michezo yote ya Ligi Kuu ni muhimu, kwa hivyo tutachukua moja baada ya nyingine hadi mwisho na kujaribu kushinda michezo mingi iwezekanavyo."
 
Bei inazidi kupanda tu, nafikri sasa imefikia mil 45
Nasikia ya Felix hata 15 haifiki.
Uzuri hili jukwaa limeshakuwa jukwaa la biashara kilichobaki tujadili faida na hasara mambo ya mataji sio pahala pake
 
Tuchel ndani ya nyumba akiangalia Chelkenge ambao kwa wakati wake waliitwa Chelsea 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom