Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na nilipo kwambia huyu Maresca ni takataka ulimtetea sana, tatizo lako una mihemko.
Wastani wa umri wa mchezaji wa Feyenoord Rotterdam ni miaka 23.8, huku Chelsea FC wastani wa umri wa miaka 23.9. Licha ya hayo, Maresca anadai kwamba hawawezi kushindana katika Kombe la Carabao, Kombe la FA, au kumaliza katika nne bora. Tuna kocha wa hovyo sana.
 
Humu ndani watu wanachekesha sana, kipindi nilikuwa nawambia kuwa huyu kocha ni takataka na hafai kuwa kocha wa klabu kama Chelsea mlinijia juu sana, leo naona nyote mnamponda na kusema ni tatizo. Mimi nikiwambia jambo muwe mna elewa, kwenye ukweli tuwe tunasema tu ata kama ni mchungu.

Nawambia tena huyu Palmer ni takataka tu, bisheni tena ila ipo siku mtakubali.
Na wewe ndg uko too extreme🙄, kila mtu kwako ni takataka, nawasiwasi hata mimi unaniona takataka😀😀😀😀
Sote binadamu, kuna vitu vingine huwezi jua hadi itokee. Ukweli ni kwamba Maresca alifanya vizuri hadi December tulipocheza na Everton ndio jahazi likaanza kuyumba hadi leo.
Madhaifu ya kocha tuliyojua tangu mwanzo ila matokeo yalitubumbaza.
 
Sio kila mtu, mtu kama Maresca sio kocha wa kuwa Chelsea. Mimi ni mdau wa michezo pengine ata kuliko wewe, nafuatilia sana michezo sio mpira wa miguu pekee. Kwahiyo huyo Kocha niliona ni takataka ata kabla ya kuja ndio maana nilishauri angalau Hans Flick na alikuwa available.
Na wewe ndg uko too extreme🙄, kila mtu kwako ni takataka, nawasiwasi hata mimi unaniona takataka😀😀😀😀
Sote binadamu, kuna vitu vingine huwezi jua hadi itokee. Ukweli ni kwamba Maresca alifanya vizuri hadi December tulipocheza na Everton ndio jahazi likaanza kuyumba hadi leo.
Madhaifu ya kocha tuliyojua tangu mwanzo ila matokeo yalitubumbaza.
 
Kwa kweli ujio wa Maresca sikucomment chochote kwa sababu nilitoka kurushiwa madongo ya Pochetino.

Mara nasikia huko pre season Maresca ni hatare, mara msimu umeanza unapigwa mpira mwingi, sasa hivi Maresca amekuwa fuko.

Tusubiri amalize msimu, maana huko ndani wanamsifia sana na wanadai ndiye mkombozi waliyekuwa wanamtarajia. Mfumo wake wa uchezaji ndio wamiliki wanaupenda. Sisi mashabiki tutabaki na kelele zetu tu.

Taarifa za ndani zinadai kuwa hatafanyiwa tathmini msimu huu wa kiangazi hadi 2026.

Watajitajidi kumsajilia wachezaji anaowataka msimu ujao, na ndio wataanza kumpima kwa sababu Chelsea inatakiwa ipate UEFA Championship msimu ujao. Msimu huu ni kujirusha tu bwerere, na ndio maana kelele za mashabiki hazimnyimi usingizi.
 
CASH-money-forever
Inaonekana leo Maresca ameamua kuweka ulinzi shirikishi
1740243788666.png

Bench
1) Sanchez
2) Tosin
3) Sancho
4) KDH
5) George
6) Asheampong
7) Amougou
8) Samuels-Smith
9) Mheuka
 
CASH-money-forever
Inaonekana leo Maresca ameamua kuweka ulinzi shirikishi
View attachment 3245597
Bench
1) Sanchez
2) Tosin
3) Sancho
4) KDH
5) George
6) Asheampong
7) Amougou
8) Samuels-Smith
9) Mheuka
Correction

4-2-3-1

----------------Neto -------------

Nkunku ---------Enzo---------Palmer

------Caicedo----------James-------

Cucurella--Colwill --Chalobah ----Gusto

--------------Jorgensen--------------
 
Ulinzi shirikishi ndio utamaduni wetu wa ushindi.
Hakutumia huo ulinzi bana, kaenda na mfum o wake, ni wachezaji tu amewabadilsihuai majukumu
James DM
Neto No. 9
Enzo no 10
Palmer RW
Nkunku LW

Correction

4-2-3-1

----------------Neto -------------

Nkunku ---------Enzo---------Palmer

------Caicedo----------James-------

Cucurella--Colwill --Chalobah ----Gusto

--------------Jorgensen--------------
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom