Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wana nia ya kumsajili winga wa Crystal Palace Jesse Derry, 17.
1739736625395.png
 
Umri wa wastani wa Strasbourg ni 21.5, na wanacheza soka la kuvutia. Kinyume chake, umri wa wastani wa Chelsea ni miaka 23.5, lakini wanacheza vibaya, huku kocha na baadhi ya mashabiki wakitoa visingizio kuwa ni kikosi cha vijana wachanga. Kikosi cha Chelsea kina thamani mara kumi zaidi ya kile cha Strasbourg.

Kwa hiyo, ni nani mwenye makosa?

1) Wamiliki
2) Wakurugenzi wa Michezo
3) Kocha
4) Wachezaji
1739780217501.png
 
View attachment 3239000
Strasbourg wapo nafasi ya ngapi ? Wanacheza ligi yenye ushindani kama EPL ?
 
Strasbourg wapo nafasi ya ngapi ? Wanacheza ligi yenye ushindani kama EPL ?
Kocha ndio mwehu, hakuna kisingizio cha ushindani wala nini, hao Strasbourg wakija kucheza na chelsea tutatandikwa kama watoto wadogo.

Kocha mpuuzi, anataka kutuletea za Arteta, eti miaka kumi tunamsubiri yeye tu na upuuzi wake, timu yenyewe hata uelekeo haina.
 
Kwa kweli mashabiki wa London waandamane Stanford bridge hiyo tarehe 25. Blue Co watupishe wamefeli kuendesha timu.

Yaaani kutoka kuwa bingwa wa UEFA mpaka kuwa malapulapu kuwasafishia wengine point 3. HAIWEZEKANI
Ukisema HAIWEZEKANI kwa maherufi makubwa unamaanisha nini mkuu?

240px-Chelsea_FC.svg.png

Full name:
Chelsea Football Club

Nickname(s): The Blues, The Pensioners

Founded: 10 March 1905

League: Premier League

Website: ChelseaFC.com

View attachment 450996
Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m

View attachment 2262786
Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg Wyss and Mark Walter

View attachment 2268766
Chairman: Todd Boehly

View attachment 3055233
Head Coach: Enzo Maresca
Chelsea Trophies:
League Titles: 6

Premier League Champions: 5 (2016/17, 2014/15, 2009/10, 2005/06, 2004/05)
First Division Championship: 1 (1954/55)

European Trophies: 9
UEFA Champions League: 2 (2011/12, 2020/2021)
UEFA Europa League: 2 (2012/13, 2018/19)
UEFA Super Cup: 2 (1998, 2021)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98, 1970/71)
FIFA Club World Cup: 1 (2022)

FA Cup Trophies: 8 (2018, 2012, 2010, 2009, 2007, 2000, 1997, 1970)

League Cup: 5 (2014/15, 2006/07, 2004/05, 1997/98, 1964/65)

Community Shield: 4
FA Community Shield: 2 (2009, 2005)
FA Charity Cup: 2 (2000, 1955)

Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1988/89, 1983/84)
Full Members Cup: 2 (1989/90, 1985/86)

View attachment 1889041
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned UEFA Super Cup Winners(2021)

View attachment 1801870
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned UEFA Champions League Winner (2020/21)

View attachment 2117727
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned FIFA Club World Cup Winner (2022)

View attachment 2682733
Chelsea’s Premier League Fixture - 2023/24

Follow this thread for team updates!
 
Wastani wa umri wa mchezaji wa Feyenoord Rotterdam ni miaka 23.8, huku Chelsea FC wastani wa umri wa miaka 23.9. Licha ya hayo, Maresca anadai kwamba hawawezi kushindana katika Kombe la Carabao, Kombe la FA, au kumaliza katika nne bora. Tuna kocha wa hovyo sana.
 
Maisha yako kasi sana, Leo hii hamumtaki maresca ambaye mlimpamba sana humu ?
 
Nilimtetea Pochetino nikasimangwa sana juan david akiongoza mashambulizi. Mkamleta kocha wenu wa ball Maresca mkamsifia kwa mapambio yote. Haya sasa amekuwa kocha wa ovyo. Tulieni azamishe chombo zaidi, mechi zilizobaki mbele kiza kingi kwake. Kuwa na upara sio kushinda mechi.
Kipindi cha Poche muda kama huu Chelsea ilikuwa nafasi ya ngapi? Poche hakuwa kocha yule...alitoka kwenye fashion mapema kama Morinyo
 
Kipindi cha Poche muda kama huu Chelsea ilikuwa nafasi ya ngapi? Poche hakuwa kocha yule...alitoka kwenye fashion mapema kama Morinyo
Kuna sehemu kule X nilijibu swali kama hili na naweka hayo majibu hapa:

Mlinganisho wa Mwenendo wa msimu haufai kwa Maresca kwa sababu tabia za kuongeza kasi ya matokeo aun ubora wa uchezaji ni tofauti.

Chukua, kwa mfano, tabia za kuongeza kasi za msimu za Pochettino na Maresca.

Mwenendo wa uchezaji wa Pochettino ulikuwa ukiongezeka kwenda juu na kumaliza msimu kwa pointi 63.

Mwenendo wa uchezaji wa Maresca unashuka kwenda chini, na ni Mungu pekee ndiye anayejua tutaishia wapi Mei—pointi 53 au pointi 60?

Kwa kuzingatia mwenendo wa sasa wa Chelsea, wanatarajiwa kupata pointi 13 kati ya 39 zinazowezekana, na kufanya jumla ya pointi 56 kufikia Mei. Uwiano huu wa pointi hautatosha kwa Chelsea kupata nafasi katika 4, 5, 6, au hata 7 za juu. Nina shaka hilo. Hii ni projection tu, Mungu anaweza ingilia form ya timu ikapanda wakashinda point zaidi ya 20 kati ya 39 ili wazidi zile 63 za Pochettino, ILA NINA WASIWASI MKUBWA KAMA HIYO ITAWEZEKANA
 
Nilimtetea Pochetino nikasimangwa sana juan david akiongoza mashambulizi. Mkamleta kocha wenu wa ball Maresca mkamsifia kwa mapambio yote. Haya sasa amekuwa kocha wa ovyo. Tulieni azamishe chombo zaidi, mechi zilizobaki mbele kiza kingi kwake. Kuwa na upara sio kushinda mechi.
Hata Mimi nilitaka sana Pochetino afukuzwe, ilikuwa ni makosa japo Pochettino sio kocha tuliyemtaka ila namuona kama afadhali kuliko Maresca kwenye vitu vingi. Maresca ana mfumo ambao ungekubali ni mzuri kulkiko wa Pochettino ila tatizo la Maresca hawezi kufanya TWEAKING ili aweze kuwachezesha wachezaji muhimu. Hata wale waliokuwa wakifanya vizuri wakati wa Maresca sasa hawafanyi vizuri tena.

Pia Maresca ni mkatili sana kwa wachezaji asiowataka. Huo ukatili unaweza kuharibu mahusiano hata kwa wale anaowapenda na nahisi ndio maana m orale imeshuka sana.
The way alivyowakataa wacheza muhimu kama Chilwel, Chalobah, Sterling, Chukwuemeka an wengineo. Hasa Chilwell na Sterling ni wachezaji wanaoheshimika kwenye dressing room, kuwatreat vibaya inaweza ikachefua dressing room. Nawaza tu
 
Kuna sehemu kule X nilijibu swali kama hili na naweka hayo majibu hapa:

Mlinganisho wa Mwenendo wa msimu haufai kwa Maresca kwa sababu tabia za kuongeza kasi ya matokeo aun ubora wa uchezaji ni tofauti.

Chukua, kwa mfano, tabia za kuongeza kasi za msimu za Pochettino na Maresca.

Mwenendo wa uchezaji wa Pochettino ulikuwa ukiongezeka kwenda juu na kumaliza msimu kwa pointi 63.

Mwenendo wa uchezaji wa Maresca unashuka kwenda chini, na ni Mungu pekee ndiye anayejua tutaishia wapi Mei—pointi 53 au pointi 60?

Kwa kuzingatia mwenendo wa sasa wa Chelsea, wanatarajiwa kupata pointi 13 kati ya 39 zinazowezekana, na kufanya jumla ya pointi 56 kufikia Mei. Uwiano huu wa pointi hautatosha kwa Chelsea kupata nafasi katika 4, 5, 6, au hata 7 za juu. Nina shaka hilo. Hii ni projection tu, Mungu anaweza ingilia form ya timu ikapanda wakashinda point zaidi ya 20 kati ya 39 ili wazidi zile 63 za Pochettino, ILA NINA WASIWASI MKUBWA KAMA HIYO ITAWEZEKANA
Mungu akiwasaidia nyny na wengine nao atawasaidia....Sasa wale wengine na wao watajisaidia baada ya kupata msaada wa Mungu ila nyny hamtajisaidia baada ya kupata msaada wa Mungu....tabu Iko palepale....nafasi ya pili mlifikajefikaje kipindi kile
 
Humu ndani watu wanachekesha sana, kipindi nilikuwa nawambia kuwa huyu kocha ni takataka na hafai kuwa kocha wa klabu kama Chelsea mlinijia juu sana, leo naona nyote mnamponda na kusema ni tatizo. Mimi nikiwambia jambo muwe mna elewa, kwenye ukweli tuwe tunasema tu ata kama ni mchungu.

Nawambia tena huyu Palmer ni takataka tu, bisheni tena ila ipo siku mtakubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom