Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,936
- 3,941
😂😂😂😂
Usiwasanue,,,Kumbe hamkupiga on target mechi nzima!
Mchezaji mvivu hatarii.Siwalikuwa wanasema eti Sancho ni mchezaji mzuri, eti kwakuwa anachezea timu mbovu ya Man u ndio mana hafanyi vizuri. Haya sasa Sancho huyo hapo sasaaa!!!???
Ligi ndo imeanza Sasa rasmi....bdo hamjaenda kwa wale wahuni Brentford....hakyanani mtatueleza nafasi ya 2 mlifikaje kipindi kile 🤠🤠ðŸ¤Kmamae kabisa , huwa sipotezi kuangalia hizi takataka ,
Mchezaji mvivu hatarii.Siwalikuwa wanasema eti Sancho ni mchezaji mzuri, eti kwakuwa anachezea timu mbovu ya Man u ndio mana hafanyi vizuri. Haya sasa Sancho huyo hapo sasaaa!!!???
Kisingizio chetu sisi ni tunaproject eti ambayo inatulaza na majonzi kila kukichaMarmoush 26 years, mwenzetu wanasajili matured players kuboresha kikosi, sisi tunasajili vitoto vya kufungwa pamps.
Miaka yote Arsenal ni Mbweha tu hata urembe kwa majina ya akina Bukayo Saka, sijui Declan Rice Arsenal inabaki ArsenalKenge kabisa
Kuna wachezaji walishauzwa kabla ya June 22 am,bayo ndio squad ya mwisho ya Abramovich
Dah ! Hadi wewe mhuni umefufuka , kweli Chelsea tuna hali mbaya , hadi Hamis masingeli umefufuka , ni miaka miwili sasa umefia wapi sijuiEnjo Mareka apewe muda
Kosa kubwa mlifanya kumfukuza pochinene