Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 508
- 703
Ukishaingiza bahati kwenye mpira tayari umefeli, yani mwenzio ajiandae vizuri na long marathon we ukae tu kusubiri bahati sio!!!?, Na huo uchovu unawapata wachezaji wa Chelsea tu kila mechi?.Mashabiki bwana...yaani mnataka kushinda kila mechi ili timu nyingine wao wasishinde? Kuweni na shukrani, ushabiki ni kufurahia kila nyakati. Ungekuwa London sijui kama ungeeda ata uwanjani; wenzako wapo hadi nyakati timu inafungwa magoli 5.
Wachezaji siyo roboti kuna wakati wanakuwa na uchovu na pia kukosa bahati...Sasa mashabiki wa Man Utd au Tottenham watasemaje.
Tangu tuanze kuboronga ni kuboronga tu si ligi kuu si Fa wala Carabao huoni kama kuna shida Mahali?. Wakifanya vizuri tutawasifia na wakiboronga pia tutasema tu ndo kazi yetu sisi mashabiki au unadhani hao mashabiki wa Man U wao hawaisemi timu yao sio!!? Bro kwa sasa hatueleweki yani pumzi hatuna ya kuhimili dakika 90 mara nyingi kipindi cha pili tunaboroga sana.