Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe na Janjaweed ninawaweka kiporo..sipendi kuongea sana!:juggle:

Angalia Mkuu ata viporo vinachacha..mnajiamin ata kumzid kocha wenu, daily anasema afikirii ubingwa wakat tunajua anajua Bado anakibarua na vijongoo
 
Last edited by a moderator:
Angalia Mkuu ata viporo vinachacha..mnajiamin ata kumzid kocha wenu, daily anasema afikirii ubingwa wakat tunajua anajua Bado anakibarua na vijongoo

wewe humwelewi Mourinho:

huwezi kuelewa anachosema ndo maana wewe si shabiki wa Chelsea; asante kwa kutuongezea kurasa kwenye 'uzi' wetu.
Kama wewe shabiki wa Liverpool, Man City, Arsenal, Man Utd, Spurs nyinyi nyote kiboko yenu ni CHELSEA FC.

liverpool tulimtandika 2-1 saafi kabisa:
Samuel Eto'o na Eden Hazard nenda katazame video YOUTUBE. au unataka nimwambie MENTOR aweke video?
tulia dogo..this is chelsea fc; :nod:
 
timu yako LFC haijawahi kuwa bingwa wa PREMIER LEAGUE.
Mara ya mwisho LFC imekuwa bingwa wewe hukuwa unatazama mpira kwenye TV.
tulia kijana; kocha wako BR ni sisi ndo tumemfundisha kazi;

wakati wa KENN DAGLISH tuliwapa STEVE CLARKE awasaidie ..sisi tunawakopesha wachezaji; MOSES, ni mchezaji wa Chelsea FC; sasa timu yenyewe haina wachezaji wa kutosha unatuletea kelele?
tulia kijana:
wenzako Arsenal walianza kwa mbwembwe mwisho wake tumewachapa 6.:nod:
Kocha wako tu hajiamin af wewe ndounajiamin,,, lazima tuwaminye
 
nilidhani JOGOO kumbe ni VIJOGOO?
sasa simba anaweza kuogopa VIJOGOO?

huelewi usemacho: pole sana.:eyebrows:
Angalia Mkuu ata viporo vinachacha..mnajiamin ata kumzid kocha wenu, daily anasema afikirii ubingwa wakat tunajua anajua Bado anakibarua na vijongoo
 
timu yako LFC haijawahi kuwa bingwa wa PREMIER LEAGUE.
Mara ya mwisho LFC imekuwa bingwa wewe hukuwa unatazama mpira kwenye TV.
tulia kijana; kocha wako BR ni sisi ndo tumemfundisha kazi;

wakati wa KENN DAGLISH tuliwapa STEVE CLARKE awasaidie ..sisi tunawakopesha wachezaji; MOSES, ni mchezaji wa Chelsea FC; sasa timu yenyewe haina wachezaji wa kutosha unatuletea kelele?
tulia kijana:
wenzako Arsenal walianza kwa mbwembwe mwisho wake tumewachapa 6.:nod:

Kufikia mafanikioa ya Liverpool nikizaz cha tano cha vitukuu vyetu..NA LIGI ITAKUA INACHEZWA KAMA GAME SIO UWANJAN
 
wewe humwelewi Mourinho:

huwezi kuelewa anachosema ndo maana wewe si shabiki wa Chelsea; asante kwa kutuongezea kurasa kwenye 'uzi' wetu.
Kama wewe shabiki wa Liverpool, Man City, Arsenal, Man Utd, Spurs nyinyi nyote kiboko yenu ni CHELSEA FC.

liverpool tulimtandika 2-1 saafi kabisa:
Samuel Eto'o na Eden Hazard nenda katazame video YOUTUBE. au unataka nimwambie MENTOR aweke video?
tulia dogo..this is chelsea fc; :nod:

Ntawajambisha ad bac
 
Ntawajambisha ad bac

Teh Teh Teh Teh Teh!

Kijana Naona umekuja na Kasi kweli!? Basi utumie lugha nzuri ili tufanye mijadala yenye tija!

Karibu sn! Tarehe 27 mwenzi ujao Ufanye maamdalizi mazuri!
 
Kufikia mafanikioa ya Liverpool nikizaz cha tano cha vitukuu vyetu..NA LIGI ITAKUA INACHEZWA KAMA GAME SIO UWANJAN

Mafanikio ya kihistoria hayana tija kwani wewe ulishuhudia? Me nafurahia present na future success ya CFC. Mtabaki kukumbushia historia sisi tunatandika sita......
 
Kufikia mafanikioa ya Liverpool nikizaz cha tano cha vitukuu vyetu..NA LIGI ITAKUA INACHEZWA KAMA GAME SIO UWANJAN

mfano wako ni sawa na mtu anayeringia fedha za urithi: baba atafuta alafu wewe unaringia mtaani. mafanikio ya Liverpool ni makubwa sana, lakini wewe kama shabiki hukushuhudia sasa hapo kuna raha gani?

wewe huna cha kuringia; maana mafanikio ya Liverpool miaka ya 1980 na 1970 wewe hukuwa unatazama tv.
subiri Chelsea Fc vs Liverpool mwezi wa 4.

:eyebrows:
 
Kijana kaja Kasi kweli! Hajui hii ni thread ya mabingwa! Yani huku kitu chochote akizungumza lazima apate majibu mujarabu!

Miaka 20 tu iliyopita:

Chelsea fc bingwa wa Winners Cup - 1997/98. tulishinda 1-0 goli la Giofranco "Franco" Zola #25.
Chelsea fc bingwa wa Uingereza: 2005.(ubingwa wenye rekodi ambazo hazijavunjwa na hazitavunjwa hata msimu huu)
Chelsea fc Bingwa wa uingereza: 2006.
Chelsea fc Bingwa wa Uingereza: 2010.
Chelsea fc bingwa wa Ulaya(UCL): 2012.
Chelsea fc bingwa wa Ulaya(europa league):2013.

NB: timu pekee kutoka London kuwa bingwa wa UCL.:nod::nod::nod::nod:

Similar Discussions

Back
Top Bottom