Kheri007
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 293
- 481
Naheshimu maoni yako ila mimi nilivyoona Sancho form yake ilikuwa chini almost muda wote wa mechi
Enzo sijui sana kama alichoka ila Neto hata kama angetolewa ila Jackson naye alistahili. Sancho ndie mwenye rating ya chini kuliko wachezaji wote jana. Kocha pia alichangia kwa asilimia kubwa Chelsea kuachia points 3 kwenda kwa Fulam. Anatakiwa aweke utamaduni wa kufanya sub kuanzia dakiak ya 60 na kama kuna wachezaji form sio nzuri immideately baada ya HT abadili wachezaji. Pia jana kwenye benchi kaweka wachezaji wa hovyo, makipa wawili na wengine haijulikani nini kimewasibu
Gusto hayuko kwenye form tusijisahaulishe pia hapo
Mwanzoni mwa League alikua anayafanya sub mapema kabisa half time tu anatoa mtu.Naheshimu maoni yako ila mimi nilivyoona Sancho form yake ilikuwa chini almost muda wote wa mechi
Enzo sijui sana kama alichoka ila Neto hata kama angetolewa ila Jackson naye alistahili. Sancho ndie mwenye rating ya chini kuliko wachezaji wote jana. Kocha pia alichangia kwa asilimia kubwa Chelsea kuachia points 3 kwenda kwa Fulam. Anatakiwa aweke utamaduni wa kufanya sub kuanzia dakiak ya 60 na kama kuna wachezaji form sio nzuri immideately baada ya HT abadili wachezaji. Pia jana kwenye benchi kaweka wachezaji wa hovyo, makipa wawili na wengine haijulikani nini kimewasibu
Gusto hayuko kwenye form tusijisahaulishe pia hapo
sasa hivi kawa mzito anachelewa mpka dakika ya 70
na sub nyingi sasa hivi anafanya hazina mashiko .
Mfano hizi mechi mbili za mwisho, sub zote alizofanya hazijamlipa zaid zimekuja kuua kabisa mashambulizi ya Team.
Mtu kama Nkunku sio striker hana Energy ya kupress kama Jackson kwanini usimuingize Guiu?
Unamuweka Madueke nje alaf bench anamuweka Tyrique George chengine unaforce Gusto Ashambulie kama n10 huku Neto anakaba kama Wingback