Kuwa seriously haikuwa bahati au tumestaili kufungwaHaikuwa bahati yetu
Wachezaji wanakaba kama sendoff mke anamtafuta mume
Kuwa seriously haikuwa bahati au tumestaili kufungwaHaikuwa bahati yetu
Kocha mpuuzi sana, yaani amemtoa jackson kamungiza Nkuku wakaanza kudefend, si angeingiza beki kabisa. Halafu kagoli kamoja unadefend vip manina. Peleka motoNkuku vs Jackson bado kuna ubishi?
Kumbe mkiwa kwenye jukwaa lenu mnatukubali ehFulham ametoa draw na Arsenal & Liverpool ambazo ni team bora zaidi yetu.
Milio ya nini tena wakati hakuna mnachogombaniaTimu inacheza kama wamevimbewa ubwabwa wa Christmas
Upande wa Gusto,Neto na Enzo unakabia macho tukiendekeza uzembe kama huu kipindi cha pili hatutoboi
Kama nyinyi ilivo mwaka wa 20 huu sasaNyie wajinga ubingwa mtausikia kwenye bomba
Tunagombea top4 bro! Unafikiri top 4 unaingia kw maombi ya mwamposa.Milio ya nini tena wakati hakuna mnachogombania
Ngapi huko Mbwamwitu kamla shetaniYamepigwa kama ngoma😁😁😁😁
kitu nachopenda chelkenge mkifungwa lazima tushinde.
View attachment 3185786
Ilikuwa mikononi mwetu, kitumbua tumedondosha wenyeweNdugu yangu umenipa matumaini ya uwongo, Ahsante kwa kuharibu bajeti yangu. Baada ya ushauri wako nikaagiza kuku choma na kinywaji baridi nikaanza kujipongeza kwa ushindi tutakaopata.
Kuanzia namba 9 ni contender wa top 4, kazi ipo kweli kweli. Chelsea inatakiwa kudrop points baada ya mechi 5 hadi 7 hivi ndipo tutakuwa na sifa ya kubaki top 4 vinginevyo tukidondosha point kama Mwanitesa Un ited au Mwanashit hatutaweza kubaki top 4Ila hii trend sijapenda aisee , hizi si mechi za kuloose ,ni vile tu vijana hawajakaza kalio leo , hizi timu ni za kugonga ili kupata points nyingi ,kumbuka hata top four pia ni mpambano msimu huu ,kuna Nottingham ,Yale majamaa yanaweka kambani kila mechi msimu huu ,so kocha aje na mbinu za kusolve hii issue ,naona timu za low blocks mazee ya kupaki bus yameshatujulia sasa hivi ,sio nzuri hii
Angeingizwa nani? Jackson anapress sana na kukimbia uwanjan i sana, dakika hizo za 60/70 anakuwa amechoka sanaMaresca na Nkunku wake wanatuhujumu.
Haiwezekani mchezaji mzembe vile unampanga kama namba 9
Kama ulitazama match vzuri wachezaji waliochoka Jackson hakuwemoAngeingizwa nani? Jackson anapress sana na kukimbia uwanjan i sana, dakika hizo za 60/70 anakuwa amechoka sana
Naheshimu maoni yako ila mimi nilivyoona Sancho form yake ilikuwa chini almost muda wote wa mechiKama ulitazama match vzuri wachezaji waliochoka Jackson hakuwemo
Enzo
Sancho
Neto
Hawa wote walichoka ila kocha amekariri sub lazima Nkunku aingie akimtoa Jackson