ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,002
Hata katika uumbaji siku ya SABA alipumzika...!!!!! SITA alifanya kazi..
Vipi rafiki? Story yetu tayari?
Hata katika uumbaji siku ya SABA alipumzika...!!!!! SITA alifanya kazi..
Mkuu kama mlishindwa kuwafunga aston vila mtawaweza liverpool kweli?
RATIBA YA MAN CITY ILIYOBAKI NI KM IFUATAVYO:
Tarehe 25/3 Man Utd vs Man City
29/3 Arsenal vs Man City
5/4 Man City bs southampton
13/4 Liverpool vs Man City
16/4 Man City vs Sunderland
21/4 Man City vs West Bromwich Albion
27/4 Crystal Palace vs Man City
3/5 Everton vs Man City
7/5 Man City vs Aston Villa
11/5 Man City vs WestHam Utd
Kwa RATIBA jinsi ilivyo Chelsea ni bingwa!
Kwa upande Wa Arsenal wao kurudi ktk nafasi ya kwanza ni shida!
Lkn ukimuangalia City Na Liverpool Hawa wanatupa changamoto Lkn RATIBA Yao bado ni ngumu!
Chelsea ni bingwa tu!
Kwa ratiba hii MANCITY hawezi kuwa bingwa aiseee.
kwanza hadi akutane na LIverpool atakuwa ameshapoteza pointi kadhaa..:nod:
Ni kweli kwamba tuna mechi rahisi kwenye karatasi ukilinganisha ni timu nyingine zinazowania ubingwa, lakini ukiangalia rekodi yetu msimu huu kwa hizo timu ndogo sio nzuri sana. Mechi zote tulizofungwa msimu huu tumefungwa na timu za kati au chini ukiondoa Everton. Nafikiri tunahitaji kuingia kwenye mechi zote zilizobaki tukiwa na mentality ya kuwania ushindi kama tunapocheza na timu kubwa. Sio kuingia kwenye mechi tukifikiri tumeshashinda hata kabla mpira haujachezwa. We need to play all matches like finals, then we can talk about the title.
Kiongozi agosti 8 ndio Maana Mimi nimeamua kutangaza ubingwa mapema Na kuanza kushangilia ubingwa!
Nimetoa RATIBA yetu ILIYOBAKI na ya Liverpool na Man City,! Bila Shaka ukweli umeonekana!
We are the champion!
Mkuu ni kweli unavyosema lkn km umefatilia habari kutoka Kwa Jose Mourinho ni kwamba kuna vitu vingi anavifanyia kz ktk timu yake likiwemo Swala la kupata magoli kipindi cha pili! Mourinho anataka timu yake ipate magoli kipindi cha kwanza tena mengi. Na juzi timu imetekereza Hilo jukumu! Na pia ktk hizi timu ndogo anataka kucheza Kwa nguvu zote na kuzifunga! Maana Aston villa ilitufanya vibaya sn! Kwahiyo kocha wetu kaliona Hilo na ameshalipigia kelele!
Ref: "Gibbs, you're off!"
Ox: "But ref, it was me!"
Ref: "Shut up Walcott, get on with the game"
Mourinho huwa anajenga timu kuanzia ulinzi, kiungo na anamalizia kwenye ushambuliaji:
kwa sasa 'torres' ananiudhi sana; ila kama inawezekana Shurrle awe anacheza pale kwenye #9, alafu Willian anacheza nafasi ya Shurrle kwa sababu Eto'o atakuwa nje kwa angalau siku 10 hadi 15.
Lakini tunahitaji pointi 6: vs Palace & Stoke City.
baada ya hapo Eto'o atakuwa fiti kufanya mambo yake aliyowafanya Mwanitesa United.:nod:
wewe nilishakuruhusu kushangilia unakumbuka?
endelea kushangilia ubingwa maana unakuja. ubingwa wa ligi ni lazima; hata ubingwa wa ulaya utakuja tu; JM mtu wa kusema na kutenda;:eyebrows:
Helloo natangaza kujenga kambi umu ndan ad siku mnaingia anfield kupelekwa kibra...
Karibu sn ktk thread ya mabingwa! Hapa utatosha tu mwenyew! Utapata uchambuzi safi kabisa kutoka Kwa wataalam na mashabiki safi Wa Chelsea!