Mpaka wewe umekubaliTimu ya ubingwa ndio inapaswa icheze hivi sasa, kipindi kile nilikuwa nachukia sana timu yetu inacheza kwa upole sana. Saizi ni mwendo wa moto huko huko golini kwao, hii Chelsea kwa namna inavyo cheza alafu kocha anakwambia haipo kwenye mbio za ubingwa kwakwel inafurahisha sana.
Hili tumekuwa tukilizungumza sana humu naona baadhi Ni wabishi kuelewaNkuku ni finisher mzuri kuliko Jackson ila bado ni static centre forward hivyo ni easy kuwa marked
Jackson ataendelea kucheza mpaka pale Nkuku atakapobadilika kuendana na soka tunalocheza
Jiulize kwa nini akiingia hata hizo nafasi anazokosa Jackson yeye hazipati
Anapataje zimebaki dk.5, wewe ungeweza kupata ndani y dk.5? Unamtetea Jackson ni mduanzi sana. Kama leo tungedroo lawama zote zingekua kwake.Nkuku ni finisher mzuri kuliko Jackson ila bado ni static centre forward hivyo ni easy kuwa marked
Jackson ataendelea kucheza mpaka pale Nkuku atakapobadilika kuendana na soka tunalocheza
Jiulize kwa nini akiingia hata hizo nafasi anazokosa Jackson yeye hazipati
Umenena kweli kabisa, uzuri wa Jackson upo hapo kwenye kumpress na kukaba wakati Nkunku movement zake uwaqnjan i sio nyingi. Kama hii ya Mechi9 na Brentford Jackson alikuwa anakaba kama CBNkuku ni finisher mzuri kuliko Jackson ila bado ni static centre forward hivyo ni easy kuwa marked
Jackson ataendelea kucheza mpaka pale Nkuku atakapobadilika kuendana na soka tunalocheza
Jiulize kwa nini akiingia hata hizo nafasi anazokosa Jackson yeye hazipati
Nilitegemea majibu kama haya, wengi wenu hata hamjui Drogba alikuwaje akiwa na umri kama wa Jackson, tunapomfananisha Drogba na Jackson unamchukua huyu Jackson wa miaka 23 unamfananisha na prime Drogba wa miaka 28. Jackson atakoma atapata uzoefu atajifunza na anaweza hata kumpita Drogba kwa kila kitu. Sio ninyi wala unabii wenu ndio utamfanya Jackson afanikiwe kwenye mpiraJackson hawezi kuwa kama Drogba acha kujidanganya mzee. Ata robo ya unyama wa Drogba hagusi.
Haya ni maoni yangu kutokana na kile nachokiona uwanjani wala sio mapenzi yangu kwa Jackson. Jackson bado anazingua sana ila trust me mbadala wake bado hatuna na huu ni ukweli mchungu nilioamua kuumezaAnapataje zimebaki dk.5, wewe ungeweza kupata ndani y dk.5? Unamtetea Jackson ni mduanzi sana. Kama leo tungedroo lawama zote zingekua kwake.
Kweli mkuu ,ila hivo hivo tutafika tu. Msimu huu kuna jambo letu, Ngoja tusubiri.Haya ni maoni yangu kutokana na kile nachokiona uwanjani wala sio mapenzi yangu kwa Jackson. Jackson bado anazingua sana ila trust me mbadala wake bado hatuna na huu ni ukweli mchungu nilioamua kuumeza
Jackson hawezi kumfikia THE LEGEND Didier Drogba ule ulikuwa Mwamba at Stamford Bridge.Jackson hawezi kuwa kama Drogba acha kujidanganya mzee. Ata robo ya unyama wa Drogba hagusi.
Mnamjudge mchezaji kw vidakika vitano, basi sawa maoni yako na yaheshimiwe.Haya ni maoni yangu kutokana na kile nachokiona uwanjani wala sio mapenzi yangu kwa Jackson. Jackson bado anazingua sana ila trust me mbadala wake bado hatuna na huu ni ukweli mchungu nilioamua kuumeza
Mechi na Southampton hukuangalia mzee Nkunku si alicheza dk zote 90Mnamjudge mchezaji kw vidakika vitano, basi sawa maoni yako na yaheshimiwe.
Mimi ni mshabiki wa Nkunku sana, Nkunku hatumjaji kwa mechi ya jana. Overal uchezaji wa Nkunku ni tofauti kabisa na Jackson hata kama akipewa dakika 90.Mnamjudge mchezaji kw vidakika vitano, basi sawa maoni yako na yaheshimiwe.
Moto aliopelekwa Brentford jana walishindwa kucheza ile style yao kabisa. Dakika za mwishoni tulipolegeza mashambulizi ndipo wakatupachika goli.Nadhan jana vs Brentford tulikuwa tuko tofauti sana kiuchezaj kuanzia kushambulia na kujilindw jana,Position ya Enzo na Palmer jana ilikuwa tofauti kuliko mechi zilizopita.
Next vs Everton pale Goodison Park
Chalobah anafanya vitu vyake Palace. Naona Palace wanaweza kumchukua mkopo wake ukiisha maana amekuwa first choice LCB wao pembeni mwa Marc GuehiDah ! ,Kuna wachezaji nimeshasahau hata kama waliwahi kuwa wachezaji wa Chelsea ,outcasts kama Chillwell na Chalobah
Dah ! , Chillwell ndio kapotezwa kabisa mazima
Kama Nothingham forestJibu hapa ni dogo sana kama team haiwezi kushinda moja bila haiwezi kuchukuwa ubingwa,zipo mechi hakuna nafasi ya kufunga magoli mengi,chelsea haiwezi kushinda mechi hizo kwa sababu itafunga goli na sanchez na mabeki wayafanya makosa ya ki senge watafungwa goli .Pia team ya ubingwa kuna wakati unashinda ugly ,city na ubora wa wachezaji kuna wakati alifanya hivyo spurs vs city 2023/2024 1-0.Sisi chelsea tuna shinda na decorations za kutosha , maana yake tukikutana na team yenye quality na maturity inatuzidi hatuwezi kushinda hiyo mechi.
ULisha wahi cheza mpira ?Hata kama amefunga na ametupa ushindi, jamaa bado anazingua mbele ya goli kuna mistake amefanya akiwa pekee yake mbele ya goli ungekuta amefunga mawili na kutufanya tushinde kwa 3:1