Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni muda wa KDH sasa kutuonyesha alichonacho
Huyu dogo kwenye mildfield sijamwelewa kabisa
 
Hazard wa Chelsea hakuwahi kupata injury, ila hazard wa Madrid akajeuka kuwa mhudumu wa Hospital.
Mourinho alishawahi kusema hazard tutakuja kumpoteza mapema kwenye soka kutoka na waamuzi kushindwa kumlinda, kama ulikua unafatilia alikua ndio mchezaji aliekua anafanyiwa faulo nyingi kwa kipindi kile ndani ya Epl,
 
Mechi ilichezwa alfajiri, imeisha Argentina moja bila.

Kuna namna Maresca anamkosea sana Enzo kwa kumpga benchi, siku akisepa tunaanza tena kuingia sokoni kutafuta mchezaji kama Enzo.

Screenshot_20241120_110602_X.jpg
 
Enzo Fernandez ni takataka, hamna mchezaji mule. Enzo wa Benfica ndio alikuwa Enzo kweli, ukweli lazima usemwe. Mimi huwa sioni aibu kusema ukweli ata iwe kuna uzito kiasi gani ila ukweli nitausema, huwa siangalii sura.
Mechi ilichezwa alfajiri, imeisha Argentina moja bila.

Kuna namna Maresca anamkosea sana Enzo kwa kumpga benchi, siku akisepa tunaanza tena kuingia sokoni kutafuta mchezaji kama Enzo.

View attachment 3156735
 
🚨⚠️ Reece James has suffered new injury, says Enzo Maresca.

“Unfortunately Reece felt something small and we don't want to take a risk for this game”.
 
🚨⚠️ Reece James has suffered new injury, says Enzo Maresca.

“Unfortunately Reece felt something small and we don't want to take a risk for this game”.
James bana hata akiwa anakaa, anashikwa na msuli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom