Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aliyemsajili Sanchez, Madueke, Enzo Badiashile, Disasi, Felix na Fofana anapaswa apigwe mijeledi hadharani, aburuzwe na farasi barabarani achubuke damu mwili mzima afie mbele 😡

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Enzo yupi unayemzungumzia
 
🚨🔵 Chelsea do not consider Benoit Badiashile a player for sale, as he’s highly thought of at Stamford Bridge.

He is considered part of the long-term project at Chelsea and everyone at the club strongly believes he has a bright future at the club.
 
Screenshot_2024-11-05-03-16-00-99_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2024-11-05-03-16-13-12_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2024-11-05-03-17-01-31_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
 
🚨🔵 Chelsea do not consider Benoit Badiashile a player for sale, as he’s highly thought of at Stamford Bridge.

He is considered part of the long-term project at Chelsea and everyone at the club strongly believes he has a bright future at the club.
Ndio naamini uchawi upo.
 
Inaeleweka kuwa Chelsea haitazamii kumuuza Benoit Badiashile leo wala kesho, ambaye bado anapendwa sana Stamford Bridge. Yeye ni sehemu ya mradi wa muda mrefu na anaonekana kuwa na mustakabali mzuri.

Takwimu zinaonyesha kiwango cha pasi cha Badiashile ni miongoni mwa mabeki bora zaidi barani Ulaya na anaendelea vizuri huko Cobham.

Chelsea wanaamini Badiashile anatoa ushindani mzuri katika kikosi chenye ushindani wa hali ya juu. Pia ana uwezo wa kubadilika hivyo anaweza kutumika kama beki wa kati wa kushoto, beki wa kushoto au hata mshirika Levi Colwill kama beki wa kati wa kulia, kama alivyofanya dhidi ya Liverpool alipoingia uwanjani kwa Tosin.🔵

@JacobsBen
https://x.com/JacobsBen
1730780155302.png
 
Enzo afanya vitu vyake vip hivyo
Tangu Enzo awekwe Benchio, hakuna ufungaji tena wa magoli au mnajifanya hamuoni hilo
Build ups nyingi za magoli ya Chelsea ilikluwa na mkono wa Enzo. Sasa kawekwa benchi ili timu ipate physicality kwenye midfield lakini ubunifu hakuna.
Tunamuhitaji Enzo Fernandez zaidi ya tunavyomuhitaji Lavia
Hata Lavia akiwepo bado Chelsea inafungwa so hakuna haja ya kumuweka Enzo kwenye benchi
 
Inaeleweka kuwa Chelsea haitazamii kumuuza Benoit Badiashile leo wala kesho, ambaye bado anapendwa sana Stamford Bridge. Yeye ni sehemu ya mradi wa muda mrefu na anaonekana kuwa na mustakabali mzuri.

Takwimu zinaonyesha kiwango cha pasi cha Badiashile ni miongoni mwa mabeki bora zaidi barani Ulaya na anaendelea vizuri huko Cobham.

Chelsea wanaamini Badiashile anatoa ushindani mzuri katika kikosi chenye ushindani wa hali ya juu. Pia ana uwezo wa kubadilika hivyo anaweza kutumika kama beki wa kati wa kushoto, beki wa kushoto au hata mshirika Levi Colwill kama beki wa kati wa kulia, kama alivyofanya dhidi ya Liverpool alipoingia uwanjani kwa Tosin.🔵

@JacobsBen
x.com
View attachment 3143853
Ndio maana huwa nasema mpaka Maresca anampanga mchezaji 1st Eleven, huwa kuna kitu mchezaji anakionyesha uwanja wa Mazoezi, kumshawishi kocha

Wale ambao tunadhani wanastahili kupangwa ndio hao unakuta ni wavivu mazoezini au wazito kuelewa kocha anataka nini/mbinu.

Madueke tunasema apangwe kikosini japo sio kwa umuhimu lakini kocha unaona umuhimu wake kuanzia uwanja wa mazoezi mpaka kwenye mechi.
 
Tangu Enzo awekwe Benchio, hakuna ufungaji tena wa magoli au mnajifanya hamuoni hilo
Build ups nyingi za magoli ya Chelsea ilikluwa na mkono wa Enzo. Sasa kawekwa benchi ili timu ipate physicality kwenye midfield lakini ubunifu hakuna.
Tunamuhitaji Enzo Fernandez zaidi ya tunavyomuhitaji Lavia
Hata Lavia akiwepo bado Chelsea inafungwa so hakuna haja ya kumuweka Enzo kwenye benchi
Jana nilikuwa naangalia uchambuzi SKY SPORTS, mtangazaji aliwauliza wachambuzi kwanini Maresca ameamua kumpiga benchi Mchezaji Enzo baada ya Lavia kurejea kikosini?

Mchambuzi akajibu kwa kusema Enzo ni mzuri sana akiwa na mpira lakini ni ovyo akiwa hana mpira, na ili awe bora anatakiwa acheze na kiungo mwingine ambaye atakuwa anamlinda. Maresca ameona ili apate balance nzuri kwenye kiungo ndio partnership tunaiona LAVIA - CAICEDO.

Pia mchambuzi aliongelea madhaifu ya Enzo kwenye kuelewa tactics za kocha.
 
KAULI YA MARESCA JUZI KUHUSU ENZO

"It’s a matter of balance. Romeo and Moi give us physicality and strength in the middle. This is why we found the option of Malo [Gusto] in the pocket. Otherwise, when we play with Enzo it has to be with one of Moi or Romeo, and Enzo moves forward we struggle in the middle for physicality. At the moment that’s something Moi and Romeo give us, but it doesn’t mean for one game we can’t play with Joao [Felix] and Cole [Palmer] in the pocket. It depends on the game."
 
Tangu Enzo awekwe Benchio, hakuna ufungaji tena wa magoli au mnajifanya hamuoni hilo
Build ups nyingi za magoli ya Chelsea ilikluwa na mkono wa Enzo. Sasa kawekwa benchi ili timu ipate physicality kwenye midfield lakini ubunifu hakuna.
Tunamuhitaji Enzo Fernandez zaidi ya tunavyomuhitaji Lavia
Hata Lavia akiwepo bado Chelsea inafungwa so hakuna haja ya kumuweka Enzo kwenye benchi
Hii kitu inaitwa kutafuta balance kikosini ndio kazi ya ukocha inapoanzia.

Unawapanga Caicedo & Enzo - tunafunga magoli mengi na kufungwa mengi.

Unawapanga Lavia & Caicedo - Tunafunga Magoli machache na Tunafungwa magoli machache ila cleansheet hapana (Pazia Sanchez)
 
Ni sawa ila sasa tutakuwa na ufinyu wa magoli. Mimi ningekuwa Enzo Maresca ninge mweka Enzo Fernendez na Lavia na Caicedo wote kwa pamoja. Ili kazi ya kutengeneza balance ifanywe na Lavia na Caicedo halau Enzo acheze B2B
 
Tangu Enzo awekwe Benchio, hakuna ufungaji tena wa magoli au mnajifanya hamuoni hilo
Build ups nyingi za magoli ya Chelsea ilikluwa na mkono wa Enzo. Sasa kawekwa benchi ili timu ipate physicality kwenye midfield lakini ubunifu hakuna.
Tunamuhitaji Enzo Fernandez zaidi ya tunavyomuhitaji Lavia
Hata Lavia akiwepo bado Chelsea inafungwa so hakuna haja ya kumuweka Enzo kwenye benchi
Weka timu tulizocheza nazo wakati tunafunga goli nyingi against tunazostrugle kufunga kabla ya kuhitimisha maoni yako
 
Ni sawa ila sasa tutakuwa na ufinyu wa magoli. Mimi ningekuwa Enzo Maresca ninge mweka Enzo Fernendez na Lavia na Caicedo wote kwa pamoja. Ili kazi ya kutengeneza balance ifanywe na Lavia na Caicedo halau Enzo acheze B2B
Unataka kuniambia Maresca na uwezo wake wote wa kimbinu hajaona ni vema kuwapanga kwa pamoja CAICEDO - LAVIA - ENZO, pengine alishaona ni over balance kwenye eneo la kiungo na kupelekea weak balance kwenye eneo lingine
 
Weka timu tulizocheza nazo wakati tunafunga goli nyingi against tunazostrugle kufunga kabla ya kuhitimisha maoni yako
Chelsea wamefunga mabao 15 katika mechi 5 wakati Enzo Fernandez anaanza, na kutengeneza nafasi nyingi pia.

Bila yeye kwenye kikosi cha kwanza, wamefunga mabao 4 pekee katika michezo 5 na kutengeneza nafasi chache dhidi ya wapinzani wao.
 
Kiufundi wanasema si vyema kuwachezesha DMs wawili kwenye timu kwa sababu hakutakuwepo na ubunifu kule mbele. Lavia na Caicedo ni DM zaidi ya CM. Wanaweka balance nzuri kwenye midfield ila kunakosekana ubun ifu na buildups zinapungua sana na hivyo kumake nonesense kumuweka benchi Enzo
Bora kocha ampange Enzo Fernandez kwenye kikosi na kuhakikisha anawaweka wingbacks wanaoweza ku invert kwenye kiungo kumsaidia Caicedo. Mtu huyo ni Cucurella acheze nafasoi yake ya kushoto na James kulia, Gusto aingie tu kumpunguzia mzigo James
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom