Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ule sio ugonjwa, alisukumwa na MOYES...LOL(Lucifer Our Lord)
Msimsingizie Moyes! Mwacheni kabisa atulie! Babu yenu anaumwa tu!
Ule sio ugonjwa, alisukumwa na MOYES...LOL(Lucifer Our Lord)
We love you Bantu lady
Mkuu Liverpool sio kikwazo kabisa! Yani siku tukienda Anifield utapigwa mpira Wa kufa mtu! Kumbuka mechi ya Man City!
Tuombee tusipate majeruhi tu! Na uzuri sasaiv wachezaji wako makini sn hawajiingizi sn ktk mazingira hatarishi ya kuweza kuumia! Na wanapumzishwa sn! Na pia tunashiriki UCL na EPL Kwahiyo wachezaji hawachoki sn!
Mourinho mchawi bana aaagh
Tarehe 22 ndio mzizi wa fitina utakatwa
Siku Hiyo Wenger ataanguka tena!
Tarehe 22 ndio mzizi wa fitina utakatwa
Mkuu Liverpool sio kikwazo kabisa! Yani siku tukienda Anifield utapigwa mpira Wa kufa mtu! Kumbuka mechi ya Man City!
Tuombee tusipate majeruhi tu! Na uzuri sasaiv wachezaji wako makini sn hawajiingizi sn ktk mazingira hatarishi ya kuweza kuumia! Na wanapumzishwa sn! Na pia tunashiriki UCL na EPL Kwahiyo wachezaji hawachoki sn!
MKuu Ntuzu: Liverpool wanacheza 4-3-3. sisi Chelsea FC tunacheza 4-2-3-1.
Maana yake nini? mara nyingi mfumo huu ni rahisi sana kuugeuza kuwa 4-5-1 au 4-6-0. kwenye kiungo tutawadhibiti sana LIverpool; hata wenyewe wanajua.
Sehemu pekee ambayo Liverpool watafuruta ni kwenye safu ya ushambuliaji: mbele wanaweka washambuliaji 3. Lakini mkuu Ntuzu na wadau wengine kumbukeni kwamba Chelsea Fc kukaba na kuzuia ni asili yake:
Katika mechi 15 zilizopita; chelsea imecheza mechi 11 bila kuruhusu goli.
Cheza mbali na Chelsea FC.
Naona weekend ya jana imekuendea kombo sana kuona Man Shit anatolewa na Passionate team...Money can not buy everything mkuu....Halafu dharau kwenye soka hamna.Mmesahau mlivyo pingwa na Man City goli 6.? Fainal ya FA mnakutana na City USO kwa USO na City Hilo kombe la FA ndio atajifichia hapo! Sasa Wewe utasemaje ndoo ya FA mtaichukua? Au tumuulize Huyu ndugu yng Msukuma mwenzangu unaesema anabusara Maana Sisi wasukuma kwa busara ndio wenyewe! Eti ndugu yng Ng'wamapalala ndoo ya FA mtachukua?
Naona weekend ya jana imekuendea kombo sana kuona Man Shit anatolewa na Passionate team...Money can not buy everything mkuu....Halafu dharau kwenye soka hamna.
Haya sasa Njoo uyakane maneno yako ya shombo hapahapa(check nilivyokunukuu)...Hivi kwanini nyie #TeamMburukenge mna under-rate sana hizi team nyingine? Wigan mwaka jana walimfukuzisha kocha, nasubiri mwaka huu hapo Shit manake ndo washatolewa!!
Kumbuka 3 results are expected in futbo.
Gunners For Life!! COYG
JM akiendelea kumtumia BA kwa match zilizobaki atakuwa ameiva vya kutosha, BA ni mshambuliaji mzuri kuliko haka torres, BA ni kijana damu inachemka na wala si mvivu wa kukimbia na hakati tamaa mapema anaifata mipira mpaka ahakikishe kipe amedaka, hii inampa nafasi kubwa sana BA chelsea