Chelsick anachezeshwa Nusu Uwanja leo...sijawahi ona
Mbeleko tu, hamna team hapo
I love you chelsea.
I love you chelsea.
Nimekupenda kwa kuipenda Chelsea!
We are the champion!
Haaaaaa bila hivyo usingenipenda duh. Wakati mimi nawapenda Wasukuma mbaya.
Haya pamoja The Blues.
Mna njaa sana nyie watu,mshaanza kutongozana eeh? Ye ashasema hana time na nyie #Wagagagigikoko yeye ni wasukuma tu We Ntuzu ushawahi kaa milembe eeh?Ningekupenda kiduchu tu!
Lkn kwasababu waipenda The Blues Yani basi moyo wng wote umeuchukuaga!
Mna njaa sana nyie watu,mshaanza kutongozana eeh? Ye ashasema hana time na nyie #Wagagagigikoko yeye ni wasukuma tu We Ntuzu ushawahi kaa milembe eeh?
Muone huyu glory hunterMan city akidr point tu, Blues wanaweza kutangaza ufalme
Ndio maana......!Milembe pale ndio nimezaliwa na kupata shahada ya uzamivu kutoka Milembe!
![]()
Samuel Eto'o celebrates in amusing fashion after putting Chelsea ahead against Tottenham.