Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbeleko tu, hamna team hapo

Sasa mkuu ulitaka ile penat isiwekwe au?? Vp mpira wa kwanza ambao walisema kuwa Eto' yupo off side dakika kama ya pili hivi?
Hebu angalia vizuri huo mpira na useme based on facts na sio hisia
 
Bado mna roho ya kuchonga tu? Mancity ndo wakuibabaisha blue. Yana mech tatu
 
Chelsea 4-0 Tottenham. Thanks to Demba Ba for his two crucial goals in an interval of just two minutes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom