Asante Sana ASTON VILLA.
Narudia tena, Asante sana Aston Villa
The special One?The Man Himself.
The special One?
Haha yaani sijaona interview inayofurahisha kutoka kwa manager toka nimeanza kufuatiilia soccer kama leo
yaani mourinho kila swali akiulizwa yeye anajibu-i prefer not to talk.