![]()
Chelsea players congratulate Demba Ba after he seals a 4-0 win over Spurs
Ahahahha Eto'o alinifurahisha sana....btw he doesnt look dat old compared to kina Terry na Lampard!!!
Ahahahha Eto'o alinifurahisha sana....btw he doesnt look dat old compared to kina Terry na Lampard!!!
Safi sn Eto'o komaa tu na ubabu wako!
Kocha anawasema washambuliaji wake ili wachangamke. ni njia ya kitaalam ya kuwafundisha washambuliaji. Kocha aliposema hana 'washambuliaji' alitaka wakazane wafunge magoli. Sasa angalau magoli yanafungwa na washambuliaji: Sasa GD = 34.
Terry amezaliwa 1981.
Lampard amezaliwa 1978.
life style ya waingereza ni tofauti sana: mtazame Steve Gerrard.
Muone huyu glory hunter
Kocha anawasema washambuliaji wake ili wachangamke. ni njia ya kitaalam ya kuwafundisha washambuliaji. Kocha aliposema hana 'washambuliaji' alitaka wakazane wafunge magoli. Sasa angalau magoli yanafungwa na washambuliaji: Sasa GD = 34.
Kaka we huoni fact hapo, Liverpool atadrop point kwa Man na Arsenal atadrop point kwa Totenham, kikwazo cha Chelsea kubeba ndoo ni Man City pekee, hivyo lazima tumuombee mabaya
Hata mi nilikuwa nashangaa huyu mtu mbona yupo tofauti na wengi kumbe hii ndio sababu #TeamMburukengeNdio maana......!
Kweli we umetoka Milembe mkuu...Hayo mahesabu yako kwenye mpira haya-apply mkuu!! Liverpool alishinda goli 4 ndani ya dk 20.....na baada ya 90 ilishinda 5-1. We kweli ulitoka Milembe na Uzamivu wakoKomaa Ba hatukuuzi kabisa tena umesafisha nyota! Dakika 15 ulizocheza umechungulia nyavu Mara mbili! Km unapewa Dakika 90 Si unafunga goli 12 kwa mahesabu hayo ya Dakika 15 goli 2.
Ndugu yangu Ntuzu huyo unayemtaja Ng'wamapalala sio mtu wa papara na kurupuki!! Ni mtu wa busara hawezi kubishana na mgonjwa!! Ngoja tuchukue ndoo ya FA halafu tuje kwenye Ligi, manake mnaleta dharau sana!!
Hata mi nilikuwa nashangaa huyu mtu mbona yupo tofauti na wengi kumbe hii ndio sababu #TeamMburukenge
Kweli we umetoka Milembe mkuu...Hayo mahesabu yako kwenye mpira haya-apply mkuu!! Liverpool alishinda goli 4 ndani ya dk 20.....na baada ya 90 ilishinda 5-1. We kweli ulitoka Milembe na Uzamivu wako
Ule sio ugonjwa, alisukumwa na MOYES...LOL(Lucifer Our Lord)Si mlisema hatuna strikers? Mkipigiwa hesabu tena mnazikataa?!!!! Teh Teh Teh
Ivi siku ile mlikuaje? Au Yule jamaa yenu Ozil alikua hajala? Maana Dakika 20 Liverpool 4 Arsenal 0. Ni haki Mzee Wenger ugonjwa wake Wa kuanguka urudi! Teh Teh Teh
Ndugu yangu Ntuzu huyo unayemtaja Ng'wamapalala sio mtu wa papara na kurupuki!! Ni mtu wa busara hawezi kubishana na mgonjwa!! Ngoja tuchukue ndoo ya FA halafu tuje kwenye Ligi, manake mnaleta dharau sana!!
wadau, naona timu inaenda vizur kikwazo kidogo ni dhidi ya liverpool kama ushind utapatikana dhidi ya mechi hakuna timu ya kuzuia chelsea kuchukua ubingwa wakati huo kuwaombea wapinzani wetu mabaya na hasa man city