lol bado sijaanza kununua naona bei kubwa nasubiri mpaka ijumaa nadhani wachezaji watashuka bei.bado wameweka bei za last season.
...nyie Chelski furaha yenu ya bure, Charity shield nuksi! 'ukishalitwaa' hilo hubahatiki kubeba kombe la EPL wala UEFA CL...
...nyie Chelski furaha yenu ya bure, Charity shield nuksi! 'ukishalitwaa' hilo hubahatiki kubeba kombe la EPL wala UEFA CL...
Mi naangalia tu... Ama kweli kuna raha ya ushindi, hata wa kombe la mbuzi tu teh teh teh... Jamaa walipotuchapa bao la kwanza walionekana kuremba mnooo, aah wacha nasi tufurahi kabla ya msimu kuanza 🙂Haha, mkuu ngoja wakitoka uko walikojificha, mie simo...!!
Hongereni sana Mabingwa wa Pre season, tutaonana kwenye ligi
Hivi huyu EVRA aliwafanya nini mbona kila mwaka mnamletea fujo nakumbuka msimu wa 2007-2008 jamaa alizipiga na mfanyakazi wa uwanja
Chelsea Football Club, also known as The Blues or previously The Pensioners is a professional English football club based in West London. The team, founded in 1905, plays in the Premier League and have spent most of their history in the top tier of English football. Chelsea have been English champions three times, and have won the FA Cup five times, the League Cup four times and the UEFA Cup Winners' Cup twice.
Chelsea's home is the 42,055 capacity Stamford Bridge football stadium in Fulham, West London, where they have played since their establishment. Despite their name, the club are based just outside the Royal Borough of Kensington and Chelsea, in the London Borough of Hammersmith and Fulham.
Karibuni fans wote wa The Blues tujiunge pamoja katika msimu wa 2009/10.
It's nice summary thread..lakini kwanini isiungwe na ile iliyokuwepo mwanzo?
...naaaam, tunasubiria 'bei ya jioni!' tena raha yake unapata na nyongeza humo humo.
...nyie Chelski furaha yenu ya bure, Charity shield nuksi! 'ukishalitwaa' hilo hubahatiki kubeba kombe la EPL wala UEFA CL...
Wewe unazungumzia historia, but futbol haichezwi kwa historia lolote linawezekana ktk futbol.
Ab-Tchaz nakutafuta ndugu yangu, kitambo sana....!
Inv...kombe la mabati lile wala lisiwafanye mkashereheka kupitriza na refa wenu yule.
BTW; Hongereni.
Hii ngoma ilinipita lakini naona vijana hawakunilet-down.
To all haters eti sijui 'kombe la mbuzi', this is for you, mwanao ni
mwanao hata kama ni kilema!...Mtakula jeuri yenu tu.
I'm back!