lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Sababu ya kumfukuza ipo ila wewe hutaiona kwa sababu passion uliyonayo kwake ni kubwa sanaUnderstand the logic. Mpaka sasa hakuna sababu ya Poch kufukuzwa
Sababu ya kumfukuza ipo ila wewe hutaiona kwa sababu passion uliyonayo kwake ni kubwa sanaUnderstand the logic. Mpaka sasa hakuna sababu ya Poch kufukuzwa
Nina passion na mpira sio jambo lingine.Sababu ya kumfukuza ipo ila wewe hutaiona kwa sababu passion uliyonayo kwake ni kubwa sana
Hatuwezi kujua sana kwa sababu Enzo alikuwa akicheza akiwa na maumivu tangu January 2024. Alikuwa akimeza dawa za maumivu na kuingia uwanjani kwa sababu ya hernia aliyokuwa nayo. Kwa sababu sasa kafanyiwa SurgeryMi naona mildfield ya caicedo na Ghalagher ni bora kuliko ya enzo na caicedo au ninyi mnaonaje wadau ?
Caicedo akicheza na kibelenge Ghalagher anakuwa na uhuru wa kuzunguka na kucover eneo kubwa na kupiga hata pasi za kuassist kwenye magoli .
Enzo ni poor kwenye kukaba akicheza na Caicedo mzigo wa kukaba pale kati kati unakuwa mkubwa kwa Caicedo , hopefully msimu ujao tutaona pia na matumizi ya Lavia yatakuwaje , ila kama na Lavia naye akiclick kwenye formation na partnership ya mildfield basi tutatisha sana .
Nadhani Estavo na Paez watakuja baada ya msimu ujao, Estavo anaweza kuja mapema zaidi ila sio kabla ya Aprili 24, 2025Ni vizuri tumepata mashindano mengi ya kushiriki , hii itakuwa chance nzuri ya hata watoto wadogo akina casadei , Washington ,estavao nk kuingia kwenye team na kuonyesha walichonacho .
Tatizo ninaloliona ni ujinga wa pochetino kushindwa kunyumbulika na kurespond kufix mapungufu anapokutana na wapinzani makini ambao wanabadilika badilika
Hawa madogo waje mapema tu ili tupange majeshi ya kueleweka na wazinguaji wanyang'anywe nafasiNadhani Estavo na Paez watakuja baada ya msimu ujao, Estavo anaweza kuja mapema zaidi ila sio kabla ya Aprili 24, 2025
Enzo alipoumia tumeshinda sanaMi naona mildfield ya caicedo na Ghalagher ni bora kuliko ya enzo na caicedo au ninyi mnaonaje wadau ?
Caicedo akicheza na kibelenge ghalagher anakuwa na uhuru wa kuzunguka na kucover eneo kubwa na kupiga hata pasi za kuassist
Enzo no poor kwenye kukaba , hopefully msimu ujao tutaona pia na matumizi ya Kabisa yatakuwaje , ila kama na Lavia naye akiclick kwenye formation na partnership ya mildfield basi tutatisha sana .
Naomba msimu ujao Lavia asiumie ,tuone partnership ya Lavia na Caicedo ,huwenda ikawa poa sanaEnzo alipoumia tumeshinda sana
Mkuu timu yetu inahitaji kocha mtulivu anayeweza kuendelea kuimprove viwango vya wachezaji na Poch ni kocha sahihi. Angalia Mudueke, Caisedo, Caragher, Palmer, etc. Hii siyo Chelsea ya zamani. Tusiishi kwenye illusion. Tuko kwenye ujenzi wa timu mpya tena kwa falsafa mpya kabisa. Makocha kama Conte, Tuchel, Mourinho hawakiwezi hiki kikosiSababu ya kumfukuza ipo ila wewe hutaiona kwa sababu passion uliyonayo kwake ni kubwa sana