Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Najua kuhusu process hasa kwa hawa vijana. Shida ni kwamba wapo kwenye timu ina demand matokeo kila mechi. Lakini pia kwa hawa vijana nafasi wanazopata ni nyingi hata kuleta mlinganyo tofauti na nafasi zizotengenezwa, yan ni sawa na ratio ya 1.6 wanapata goli 1 katika nafasi 6+ hii sio dalili nzuri kwa kigezo pekee cha uchanga. Hapa ni dalili huyu mchezaji ni average hata kuja kuwa na improvement kuvwa hapo baadaye.

Cheek kwa sasa ana miaka 28
Pulisic ana miaka 25
Christensen miaka 28

Je tungewasubiri hawa wote wafikishe hiyo miaka wajikute kwenye hii fomu waliyonayo sasa?
Mimi nimesema akifika miaka 23 yrs (msimu ujao tu) tutaanza kuona mema ya Jackson na sijasema tusubiri hadi afikishe miaka 28
Jackson ana covertion rate kubwa zaidi ya Nunez aliyenunuliwa mil 100
Jackson kamisi big chances 19 au 20
Watkins 20+
Nunez 25+
Haaland 30+

Bado mimi namuona Jackson ni mtu ambaye anacheza vizuri na hapa sio kocha wala yeye wa kumlaumu
Failure ya Chelsea au Pochettino haipo kabisa kwa Jackson
Watu waliomzunguka Jackson ni hovyo kabisa na hii ni lawama ya Pochettino kushindwa kupamga safu vizuri na rafiki kwa Jackson na wengineo huko mbele, kushindwa kufanya sub za maana pale inapotakiwa, kushindwa kuelewa mchezaji huyu anacheza vizuri akiwa wapi na akicheza na kombo ya nani?
Saa nyingine mbele wanajitahidi kucheza vizuri kufunga vizurei ila kule nyuma Poche karundika mabeki wa hovyo
Yeye ameone mara nyingi Badisahile anaitosa timu ila bado yeye anamuamini sana, nani alaumiwe hapo? Badiashile au kocha? simple logic
 
Enzo atakosa mechi zote zilizosalia hii ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa hernia ambayo imekuwa ikimsumbua katika kipindi cha miezi 5 iliyopita
 
Enzo Fernandez atakosa msimu uliosalia wa Ligi ya Premia baada ya kufanyiwa upasuaji ili kushughulikia jeraha la paja kwa wakati kwa ajili ya Copa America.

Picha chini ya Enzo baada ya upasuaji

1714071329788.png
 
Orodha ya mameneja watatu (3) waliowekwa kwenye foleni endapo Chelsea itapeana mgongo na Pochettino majira ya joto, kulingana na TEAMtalk.
  • Ruben Amorim
  • Hansi Flick
  • Roberto De Zerbi
Je ni yupi unamuona atakuja kuiboresha timu iwe na balance ya kushinda makombe

1714071582268.png
 
Orodha ya mameneja watatu (3) waliowekwa kwenye foleni endapo Chelsea itapeana mgongo na Pochettino majira ya joto, kulingana na TEAMtalk.
  • Ruben Amorim
  • Hansi Flick
  • Roberto De Zerbi
Je ni yupi unamuona atakuja kuiboresha timu iwe na balance ya kushinda makombe

View attachment 2973868
Hakuna kocha hapo ushauri wa bure kachukueni iniesta , atawasogeza sogeza
 
Mashabiki wa Bayern Munich wameiomba klabu hiyo kumbakisha Thomas Tuchel kama kocha wao mkuu kwa msimu ujao, wakisema mgombea mwingine "hawashiki mshumaa" kwa kocha huyo mwenye umri wa miaka 50.

Ombi lenye kichwa ‘Tunataka Juppel (Tuchel) na si (Ralf) Rangnick!’ lina sahihi zaidi ya 10,000, likiwa limezinduliwa Jumanne.

Maoni yangu

Hivi kumbe sio wamiliki wetu na bodi yetu ndio yenye maamuzi ya kijinga?
Hao Bayern Munich wamuondoe Tuchel halafu wamlete Rangnick kweli wana akili timamu?
 
Bodi walikuwa wamemweleza Pochettino moja kwa moja kuacha kutaja "ukosefu wa uzoefu katika kikosi" wakati wa interview na press conference zake. Pochettino bado alifanya hivi, mabosi wa juu hawakufurahishwa sana na hii.
1714105711347.png
 
THE BLUES akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani wakiombeleza timu yao imewambwa msalabani.
Sio kweli, Chelsea akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mitaani wamevaa bikini za blue huku wanatingisha makalio kama bata mzinga
1713636790346.jpg
 
Yule kaka mwenye avatar ya kiduku
Na I'd ya minambanamba Yuko wapi?

Alikuwa anapiga domo sana
Nahisi idadi ya magoli waliyofungwa Chelsea inakaribia Ile minamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom