Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyumbu wanatamani kusema neno, ila wakiangalia wenyewe wapo na baba ubaya wanaishiwa kauli
20240101_191659.jpg
 
Ebu tuchambue baadhi ya timu ambazo kocha mpya ameleta impact kubwa sana msimu huu
  1. Levakusen
  2. Crystal Palace
  3. .........
Nilisema tujadili Palace halafu mnaminya
Ebu nipeni majina yote ya kocha mpya wa Palace, umri wake, uzoefu wake, je aliwahi kubeba makombe maana naona ni aina ya akivna Alonso. Tumuwahi huyo atatuletea muwa arobaini
 
Mnawaona Crystal Palace waliobadilisha kocha?????
Jana nilisem atuijadili Palace labda tutapata uzoefu wadau wa Poche wanadai wachezaji ndio wa hovyo wakanyamaza.
Wale Palace tangu waanze ligi ni wabobu kuliko Chelsea ya vitoto, leo hii wamewafunga Liver na New castle na aluta continua
 
Tunashindwa ht na Everton anayejua ana hali mbaya hvy anatakiwa kufufuka ht kama marehemu asipotaka au ndio kisa hatuna la kupoteza.?
 
Glasner ameipa sura mpya Palace kwa klutumia mfumo wa 3-4-2-1jinsi tumekuwa tukimwomba Pochettino afanye na kikosi chetu kutokana na kutokuwa na ubora wa mawinga wa nje, viungo wa misuli na CBs wazuri.
Palace wanaonekana timu tofauti, imara na inayoruka huku Wharton na Hughes wakiwa katikati ya uwanja.
 
Nilisema tujadili Palace halafu mnaminya
Ebu nipeni majina yote ya kocha mpya wa Palace, umri wake, uzoefu wake, je aliwahi kubeba makombe maana naona ni aina ya akivna Alonso. Tumuwahi huyo atatuletea muwa arobaini
Glasner kama sijakosea alikuwa Frankfurt nakumbuka tuliwatoa kwa penalt ueropa kwa babu sari msim wake
 
Tunashindwa ht na Everton anayejua ana hali mbaya hvy anatakiwa kufufuka ht kama marehemu asipotaka au ndio kisa hatuna la kupoteza.?
Mentality inaanza na kocha kama kocha anaona sawa usitegemee atawaencourage wachezaji kupambana

Ndio kwanz utaskia inexperience,your still young na vicheko na ndio maana same mistake zinajirudia kila week
 
Uchezaji wa hovyo wa Chelsea na matokeo ya kukatisha tamaa yanaweza kuhusishwa na sababu kuu 4 tofauti.

1) Wachezaji: Ukosefu wa uzoefu wa timu na umri mdogo, ambao unachangia 15% ya suala hilo.

2) Wamiliki: Ni wapya na maamuzi yao mabaya huchangia 20% ya tatizo.

3) Majeruhi: Athari kubwa ya majeraha ya muda mrefu kwa wachezaji muhimu ina uzito wa 25%.

4) Kocha: Uwezo wa kocha mkuu kiufundi na kimbinu katika kuwajenga, kuwaandaa na kuwapa motisha wachezaji umechangia 40% ya changamoto nzima.
 
Chelsea inaharibiwa na Kocha na wamiliki...bora tungebak na Tuchel hii Poch mashavu hii siielew kabsaaa.. hivi unaacha mabeki ambao kombineshen yao imecheza vizur ww unaamua kuweka Badiashile na Disas... why??? Alaf kama wachezaji ni wabovu mbona walikotoka walipeform?
Alibeba tu kikombe pale PSG kwa sababu ile ni ligi ya timu 1... ila kwa sasa ni kama Mourinho tu mbinu zao ni outdated.

Pia team haina energy kabsa yani watu wanakabia macho tu...hili sio tatzo la wachezaji ni kocha... usipokua mkali unasingizia utoto hawa watu hawawez kukupa matokeo...

mwenzako Arteta anatukana vyumbani Poch hua anafanyaje?
 
Hata ubovu wa Badiashile ni kwa sababu ya Pochettino
Enzo alikuwa mzuri wakati wa Potter sasa amekuwa average
Badiashile alikuwa mzuri wakati wa Potter sasa amekuwa hovyo
Caicedo, Mudryk, walikuwa wazuri na timu zao kabla ya Chelsea sasa average/hovyo
MUdryk alikuwa anadevelop vizuri, alipoanza kumsema vibaya, dogo amekata tamaa, mechi ya juzi alikwenda tu kutalii ndani ya uwanaj wa Emirate
 
Eti bado ni mdogo tumvumilie. Akikua ataacha
Wachezaji walio wengi wanaanza kukomaa kisoka wakifikisha miaka 23. Tafuteni ukweli kwanza kabla ya kukoment masuala ya kitaalamu kama hizi
Unakumbuka wakati ule Sarri akilalamika juu ya akina Cheek?
Alikuwa akisita kuwapa nafasi hadi mashabiki wakawa wanalalamika. Kwenye mojawapo ya interview alisema hawa wadogo chini yua 23 wanakuwa sio consistence na wanafanya makosa ya mara kwa mara na kuharibu performance na balance ya timu.

wengine waliokuwa chini ya miaka 23 ni akina
  1. Andreas Christensen (22)
  2. Ruben Loftus-Cheek (22)
  3. Callum Hudson-Odoi(18)
  4. Christian Pulisic (20)
  5. Tammy Abraham (21)
Hao wote walikuwa wakiingizwa kwa mbinde sana kwenye starting XI ya Sarri,

Only Cheek ndiye aliweza kupata dakiak nyingi zaidi ya hao wengine

So kisayansi na kibaolojia hao chini ya 23 bado wanahitaji development kubwa kwenye soka
Na usije na mifano ya Palmer, Mbape, Vinicius na wengineo, hizo ni rare separate cases
 
Jackson vs Saliba of Arsenal

Mkosoeni Jackson hapa anakosa gani?

2026 - Attackline

--------------------Fofana (23)-------------------------

Nicolas Jackson (24) ---Cole Palmer (23) ----Kendry Paez.(18)

Sub

Mudryk (24) for Jackson (24)
Chukwuemeka (21) fo Palmer (23)
Angelo Gabriel (20) for Paez.(18)

Wachezaji walio wengi wanaanza kukomaa kisoka wakifikisha miaka 23. Tafuteni ukweli kwanza kabla ya kukoment masuala ya kitaalamu kama hizi
Unakumbuka wakati ule Sarri akilalamika juu ya akina Cheek?
Alikuwa akisita kuwapa nafasi hadi mashabiki wakawa wanalalamika. Kwenye mojawapo ya interview alisema hawa wadogo chini yua 23 wanakuwa sio consistence na wanafanya makosa ya mara kwa mara na kuharibu performance na balance ya timu.

wengine waliokuwa chini ya miaka 23 ni akina
  1. Andreas Christensen (22)
  2. Ruben Loftus-Cheek (22)
  3. Callum Hudson-Odoi(18)
  4. Christian Pulisic (20)
  5. Tammy Abraham (21)
Hao wote walikuwa wakiingizwa kwa mbinde sana kwenye starting XI ya Sarri,

Only Cheek ndiye aliweza kupata dakiak nyingi zaidi ya hao wengine

So kisayansi na kibaolojia hao chini ya 23 bado wanahitaji development kubwa kwenye soka
Na usije na mifano ya Palmer, Mbape, Vinicius na wengineo, hizo ni rare separate cases
Najua kuhusu process hasa kwa hawa vijana. Shida ni kwamba wapo kwenye timu ina demand matokeo kila mechi. Lakini pia kwa hawa vijana nafasi wanazopata ni nyingi hata kuleta mlinganyo tofauti na nafasi zizotengenezwa, yan ni sawa na ratio ya 1.6 wanapata goli 1 katika nafasi 6+ hii sio dalili nzuri kwa kigezo pekee cha uchanga. Hapa ni dalili huyu mchezaji ni average hata kuja kuwa na improvement kuvwa hapo baadaye.

Cheek kwa sasa ana miaka 28
Pulisic ana miaka 25
Christensen miaka 28

Je tungewasubiri hawa wote wafikishe hiyo miaka wajikute kwenye hii fomu waliyonayo sasa?
 
Kama sisi ni weupe...weekend mnaenda kucheza na Villa...mkapate matokeo sasa....jana mlijichanganya sana kuja na kile kikosi chenu pale Emirates...bora mngegoma kuingia uwanjani tukapewa ushindi wa mezani....kuliko kuja kutupotezea muda kukimbizana na watu ambao hawajui wanafanya nn uwanjani
Hahaaaaa
Aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom