Wivu tuu 😂 Chelsea tuuawe tuu
Hamumpendi kabisa dogo. Pamoja na kuwapa UCL na kutupiga kwenye bei uyake, bado hamtaki dogo ang'aeWivu tuu 😂 Chelsea tuuawe tuu
Ile bei yake n kwa sababu alikuwa na medali ya UCL kitu ambacho ni adimu sana maeneo ya huko kwenu Arsenal 😂 ila yeye mwnyw tumewauzia kwa 2M€Hamumpendi kabisa dogo. Pamoja na kuwapa UCL na kutupiga kwenye bei uyake, bado hamtaki dogo ang'ae
Unatumia 3 months kutafuta kocha halaf wote Enrique n Naglesman wote wako tayar Unawatreat kama ajira za wafanyakaziKocha mkubwa zaidi ya huyu asingekubali kuja Liverpool, wamiliki ni wabahili sana
Yaani mpaka Arsenyetoz wazee wa kukimbia kijiwe mmefufukia humuEti
"Tukaikamata Arsenal kwa dakika 15"
Timu ilikua haipigi pasi 3 bila mpira kupokonywa hizo dakika 15 zote zingefikaje? Anahisi anaangalia mpira peke yake nini



Yaani huyu dogo ni fala sana ,sijui ni kipofu ?Hapa hata shot on target haikuwepo




Ila kitu ambacho nimejifunza kwenye maisha ,ukiweza kuwa shabiki wa Arsenyetoz , wewe ni bingwa wa roho ngumu .Eti
"Tukaikamata Arsenal kwa dakika 15"
Timu ilikua haipigi pasi 3 bila mpira kupokonywa hizo dakika 15 zote zingefikaje? Anahisi anaangalia mpira peke yake nini




Hakuna siku nimewahi kujifukia.Yaani mpaka Arsenyetoz wazee wa kukimbia kijiwe mmefufukia humu
Hii timu ni takataka sana ,kiufupi jana mlikuwa mnapiga risasi maiti kwa lengo la kuua .
Ninyi Arsenyetoz bado ni weupe sana ,jana mmekutana na mzoga ,hii timu ni mzoga unaotembea![]()
Ni ngumu sana kua mjinga na kusurvive.Ila kitu ambacho nimejifunza kwenye maisha ,ukiweza kuwa shabiki wa Arsenyetoz , wewe ni bingwa wa roho ngumu .
Kiufupi unakuwa na medali ya uvumilivu mkubwa sana
Sisi Chelsea mambo kama haya ni mageni sana kwetu ,hatujazoea kabisa fedheha za hivi na ukame wa makombe .
Mashabiki wa Arsenyetoz hoyeee
Anakwambia Cucurela alimkata vizuri SakaEti
"Tukaikamata Arsenal kwa dakika 15"
🤣🤣🤣 Timu ilikua haipigi pasi 3 bila mpira kupokonywa hizo dakika 15 zote zingefikaje? Anahisi anaangalia mpira peke yake nini
Yaani mpaka Arsenyetoz wazee wa kukimbia kijiwe mmefufukia humu
Hii timu ni takataka sana ,kiufupi jana mlikuwa mnapiga risasi maiti kwa lengo la kuua .
Ninyi Arsenyetoz bado ni weupe sana ,jana mmekutana na mzoga ,hii timu ni mzoga unaotembea![]()