Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kinachoumiza sio kufungwa bali ni performance
Huwez kwenda emirates sasa hiv na lime up
Ya vile kama vile unaenda cheza na plymouth

Mgumu sana kubadilika na hawez badilika
Kuna sehemu kule twitter baada ya kuona line up nikaandika
"Badiashile na Disasi wapo, Pochettino ni kocha aliyelaaniwa! PERIOD" baada ya mpira kwisha tu likes zaidi ya 200

Na kumbe ikawa hivyo, Badiashile anastahili kucheza na watoto wa mtaani mechi zile za mipira ya makaratasi
Unamuacha Chalobah aliyeonyesha ukomavu kwenye kulinda lango unamuweka Badiashile kama sio kulaaniwa ni nini, halafu eti anakuja kusema kawapumzisha wakati Enzo anayetakiwa kupumzishwa kila mechi anaanza

Mbaya kuliko yote sio hata line -up

Hiwa Poche anawaambia nini wacherzaji baada ya breki kwa sababu hata kama tungefungwa timu ilicheza vizuri hadi tunaenda breki. Akina Disasi na Badiashile hawakulemewa sana kama kipindi cha pili?

Viungo wanaambiwa nini hadi balance nzuri iliyokuwepo first half inapotea ghafla kipindi cha pili?
 
Mkuu ukitoa hizo chance kuna chance nyingine tena unahisi zilitengenezwa.

Angalia Arsenal Chance ngapo wamecreate halaf sisi sasa

Ni rahisi sana kumtabiri Poch.

Katika chance ulizozisema hapo mbili zimepatikana 1st half na 1 second half

Poch anapenda mbio mda wote na arteta alichofanya kipindi cha kuzuia hizo na kutupin mda wote tubaki nyuma.

Ushawah ona siku Poch kafanya tactical change????
Sifa kuu za Pochettino tangu aje

  1. Rigid kwenye formation
  2. Rigid kwenye line up
  3. rigid kwenye sub
  4. rigid kwenye playing pattern
  5. rigid kwenye tactical change
Huwezi kumuona kwenye hayo maeneo akifanya vizuri, never

Hii Chelsea itakua na matokeo mazuri zaidi ya haya ya Poche ikicheza bila yeye
 
Ni rahisi sana kumtabiri Poch hana mbinu the way anavyoiset up team yake ndio hivyo nq arteta alichifanya kumsoma kidogo na 2nd half moto ukawaka.

Huku yule muargentina tactically kichwami ni zero
Ushahidi mzuri ni kwamba Cucurella alimuweka mfukoni Saka, Arteat akagundua dawa ni kumuweka Ben White aambatane na Saka, wakati Cucurella yuko bussy na Saka, yeye anaenda tu uani, wina ndie alitakiwa kumtarct White lakini alichwa kuwa hru akatuliza 2-0
Kule kwa Gilchrist nako fomula ni ile ile Trossad alitakiwa afanuwe marking ya karibu na Disasi basi tena,

Chelsea FC = Shamble FC
 
Mauricio Pochettino ameuambia uongozi wa Chelsea kwamba lazima wafanye maamuzi ya kikatili katika dirisha lijalo la majira ya joto.

Alisema klabu inahitaji kuja na mkakati mzuri zaidi ili kuepukana na usiku wenye maumivu kama huu usijirudie tena.

Maoni yangu
Simpendi sana Pochettino, lakini lazima nikiri kwamba katika issue hii, ninakubaliana naye kabisa. Pochettino muadhirika namba 1 wa maamuzi ya kipumbavu yaliyofanywa na wamiliki na wakurugenzi kutekeleza sera za kijinga mwanzoni mwa msimu, ambazo zilihusisha tu kusajili wachezaji chipukizi wasio na uzoefu ili kushindana kwenye ligi yenye ushindani mkubwa kama EPL.

1713954176459.png
 
View attachment 2972704
Maamuzi katili la kwanza nikumfukuz yeye mengine ndio yafate.

Poch anahisi anafundisha kama bado yuko 2010 sahiv team zote zishabadilika na. Team yoyote ile ndani ya epl inaouwezo wa kuvuta kocha yoyote na player wenye uwezo.

Katika maamuzi yakwamza kufanyika inabidi huyu mpuuzi afukuzwe. Haitaji kuwa na phd ujue squad hii kwa poch hawaendani
 
  1. Fvck Todd Boehly
  2. Fvck Behdad Egbhali
  3. Fvck Mauricio Pochettino
  4. Fvck Laurence Stewart
  5. Fvck Paul Winstanley
  6. Fvck Nicolas Jackson
  7. Fvck Mykhailo Mudryk
  8. Fvck Noni Madueke
  9. Fvck Benoit Badiashile
  10. Fvck Moises Caicedo
  11. Fvck Enzo Fernandez
  12. Fvck Raheem Sterling
  13. Fvck Connor Gallagher
  14. Fvck All Chelsea fans
  15. Fvck Me
  16. Fvck everyone at Chelsea
Baada ya kipigo kali kama ile ya jana hii ndio njia pekee ya kuepuka kupata
  1. Kisukari
  2. Presure
  3. Stroke
  4. maumivu ya kichwa yasiyoisha
  5. Constipation
  6. Kukosa usingisi
  7. Na magonjwa mengine mengi
Sasa tukitumia haya maneno makali ya kuwalaumu wamilkii kocah na humu sisi kwa sisi kuna wazee wenzangu wafahidhina huku ndani kama akina Southern Highland wanakataa na kung'ang'ana na hali zao hadi wanaugua magonjwa hayo
Mpira bana tukishinda tunapongezana na kuwachamab wapinzani wetu ila tukifanya vibaya tunatafuta mchawi wa kummalizia hasira ila kuepukana na magonjwa
Lesson learned
 
Ebu tuchambue baadhi ya timu ambazo kocha mpya ameleta impact kubwa sana msimu huu
  1. Levakusen
  2. Crystal Palace
  3. .........
 
Tuchambue hizo timu ili iwe?

Tuendelee kuchambua ile 5G ya Asenali bhana ndiyo inanoga
 
Kwanza naomba mtupe uzoefu wenu. mliwezaje kusurvive na timu mbovu kiasi kile kwa miaka karibu 20?
Tupeni bana ,maana tunaelekea huko tusije tukawapoteza ndugu zetu njiani
Niko Serious
Arsen wote mlioishi tangu 2005 ya invisible ebu tuambieni sasa
 
Uzoefu huwa hauelezewi...ila unajikuta unaishi nao tu...bdo kuna kama 6 mtakuja kupigwa siku nyngne na wababe wengine halafu roho haitauma....ikishafika hyo level Sasa...mtakuwa mmekwalifai kuwa magangwe🤠🤠🤠
 
Unapochangia mada hii kwanza utaje ulianza kuwa shabiki wa Arsenal lini, isije kuwa ulianza wakati wa Arteta halafu ukatuzungusha tu hapa hapa. Sisi Chelsea tuko serious hatukuzoea kuishi na Stress
Kama kweli ninyi ni binadamu na mna utu mtusaidie
 
Kwanza naomba mtupe uzoefu wenu. mliwezaje kusurvive na timu mbovu kiasi kile kwa miaka karibu 20?
Tupeni bana ,maana tunaelekea huko tusije tukawapoteza ndugu zetu njiani
Niko Serious
Arsen wote mlioishi tangu 2005 ya invisible ebu tuambieni sasa
Kumbuka enzi hizo usumbufu mkubwa kwetu ulikuwa kupata ubingwa na kulipa deni la Emirates stadium. Tulikuwa hatukosi top 4 na kuingia UCL ila bado hatukuweza kuwekeza kwa wale wachezaji wakali katika form. Tulijitahidi kukuza tuliokuwa nao na pale tulipopata wazuri au wale tuliowakuza, kama kina Nasri, Fabregas, Van Persie, walikuja kuchukuliwa na timu zenye pesa na mafanikio kutuzidi.

Miaka ya mwisho ya Wenger ndiyo mambo yakawa mabaya zaidi, tukaanza kuishia Europa na mpaka kuikosa hata hiyo. Timu zingine zikaimarika zaidi kwa kupata wamiliki wapya matajiri na kutusumbua zaidi. Kweli tukawa tunashindwa kushindana ipasavyo mfukoni na uwanjani.

Bahati moja tuliyopata miaka kama 6 hivi karibuni ni Kroenke kununua deni la Arsenal la Emirates. Hivyo sasa Arsenal inamlipa yeye kwa riba rafiki zaidi na kuweza kuwekeza kwenye wachezaji wazuri na wa gharama. Makocha pia wamesaidia, Emery na Arteta kwenye upande wa uwanjani na kama mambo yakiendelea hivi, Arsenal itakuja kuwa tishio sana.

Upande wenu, Abramovich aliwasamehe deni lenu kwake akaacha timu ikiwa haina deni. Zaidi ya hapo mkapata tajiri aliyemwaga mipesa ya kutosha mpaka kikombe kufurika, hivyo nyie hampaswi kuwa hapo mlipo. Hii ni kwa mawazo ya kikawaida tu.
 
Nyie jamaa hamjafurahishwa kabisa na Kai

Reddit yenu kwa sasa ni balaa...

fd1ff61zgawc1.jpg
 
Ukweli ni kwamba kilichowanyima makombe ni kuwa na academy kwenye EPL na ubahili juu wa Wenga na wamiliki. Sasa sisi tunahitaji ulenge point mambo ya top 4 hata sisi tutaingia tu sio muda mrefu ila makombe ndio nawasiwasi itatuchukua miaka ishiri kwa sababu ya wamiliki wanataka kukaa na kocha muda mrefu na kocha mwenyewe ni Pochettino anakuaj kuunda Totenham Hotspurs B huku kwetu

There is recognition within the Chelsea board that keeping Mauricio Pochettino, no matter what, would give Chelsea some much needed stability. (@Matt_Law_DT)

Bodi ya Chelsea inatambua kwamba kumbakisha Mauricio Pochettino kwa muda mrefu, hata iweje, kungeipa Chelsea utulivu unaohitajika. (@Matt_Law_DT)
 
Mimi nakuambia hali ilivyokuwa, wew unasema ukweli ni kwamba...
😀😀

Sasa kuna maana gani mimi kukueleza mambo ya Arsenal kama wewe umeshajiamulia kichwani kwako nini unataka kusikia? 😀😀😀

Ubahili wa Wenger na wamiliki pia ulihusiana na deni la uwanja na system ys umiliki wa timu. Stan alivyoweza kupata shares zote, aliweza kubadili mfumo wa deni kwa kununua deni la Arsenal na kuipa nguvu kifedha. Hiyo ni sababu moja kubwa iliyofanikisha Arsenal kurejea hapo ilipo sasa hivi.
 
Mimi nakuambia hali ilivyokuwa, wewe unasema ukweli ni kwamba...
😀😀

Sasa kuna maana gani mimi kukueleza mambo ya Arsenal kama wewe umeshajiamulia kichwani kwako nini unataka kusikia? 😀😀😀

Ubahili wa Wenger na wamiliki pia ulihusiana na deni la uwanja na system ys umiliki wa timu. Stan alivyoweza kupata shares zote, aliweza kubadili mfumo wa deni kwa kununua deni la Arsenal na kuipa nguvu kifedha. Hiyo ni sababu moja kubwa iliyofanikisha Arsenal kurejea hapo ilipo sasa hivi.
 
Mkuu mm nimeanza kushabikia Arsenal kipindi forward wetu pale mbele ni Anelka na kulikuwa kuna mtu anaitwa Marc Overmars...mixer kiungo Emmanuel Petit....Sasa piga hesabu mwenyewe ni kipindi gani....era ya Invisible nimeiishi na era ya vitoto vya shule vya Wenger nimeiishi...
Unapochangia mada hii kwanza utaje ulianza kuwa shabiki wa Arsenal lini, isije kuwa ulianza wakati wa Arteta halafu ukatuzungusha tu hapa hapa. Sisi Chelsea tuko serious hatukuzoea kuishi na Stress
Kama kweli ninyi ni binadamu na mna utu mtusaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom