albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,007
- 3,402
U
SahihiDefence yetu bado sana, presha kidogo tu inatetereka
SahihiDefence yetu bado sana, presha kidogo tu inatetereka
I am just worried, worried, worried and worried about the second half syndrome, Everton may make a great come-backUtashangaa hizi goli zinarudi
Huyu Pickford sijawahi kumuelewa sijui kwa nini anaanza timu ya taifa
Tatizo linaanzia kwenye midfield. Leo Gallagher amacheza chini anajikuta kaenda kushambulia kaacha gap nyumaDefence yetu bado sana, presha kidogo tu inatetereka
Assist 1 goal 1Jackson ni takataka
Ndg, Jackson ana goli na assistsJackson ni takataka
Sijaanza kuangalia mpira leo. Sijawahi kumkubali Pickford toka siku ya kwamza anaitwa timu ya taifaHuyo jamaa ni golikipa mzuri sana, usimkosoe kwa leo tu.
Siku zote viungo wetu wako hivyo, Caicedo anapanda na Enzo anapanda halafu wanaacha gap katikati. Kocha ameshindwa kuadress hilo. May pia ni kwa sababu hao wachezaji wote ni B2B MFTatizo linaanzia kwenye midfield. Leo Gallagher amacheza chini anajikuta kaenda kushambulia kaacha gap nyuma
Legend Drogba,hata mimi wakati anafunga hilo Goal nilimkumbuka Didier DrogbaTheo Walcot anasema goli la Jackson ni aina kama umaliziaji wa Drogba
Halafu bado kuna mkuwa hapa anamuita Jackson takatakaLegend Drogba,hata mimi wakati anafunga hilo Goal nilimkumbuka Didier Drogba
Wachezaji wajitume au wasijitume ni kazi ya Kocha, naona leo kaongea nao vizuri na hata kwenye media mtizamo wa Poche umeanza kubadilika, inaonekana anawapusha wachezaji wajitope. Makocha wote bora duniani wanafanya hivyoHiki ndicho huwa nasema kila siku. Wachezaji kujituma kabla hawajafokewq. Ndio nachokiona leo