Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Mnakumbuka niliwambia hii kitu? Kiufupi hatuna Kocha, Poch ni kilaza sana. Huyo jamaa ni wakufukuza hafai kuwa Chelsea.
Tumeshinda ki bahati tu, hamna timu pale. Caisedo na Enzo hawa ni viungo gani wanatoa pasi mkaa, pasi hazifiki kwa mlengwa, inasikitisha sana viungo wa bei kubwa kiasi kile ata kupiga pasi ifike mahala husika hawawezi. Mabeki wetu ni hamna kitu kabisa, kocha ndio kilaza kabisa hamna mtu mle. Kiufupi ukimtoa Palmer na Petrovic wengine wote ni matakataka, huo ndio ukweli mchungu.
