Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna wazee humu watakuambia tatizo ni la wachezaji, tushukuru leo tulikuwa na manyumbu wa Serengeti
Badiashile hatakiwi hata awepo Benchi. Midfile wanatakiwa wafanyiwe rotation, Discline hakuna hata ya kujipanga. katikati ya uwanja kunakuwa na uwazi mkubwa kama uwanda wa Serengegeti

View attachment 2954061
Mtu anaesema Poch ni Kocha mzuri mpaka sasa hiv kuna haja ya kumpima akili.

Huwez kila game makosa ni yale yale ya kiuchezaji. Kuanzia kujilinda, kiungo nirahis kutawaliwa, game control zero etc wachezaji badala ya kuimprove ndio kwanza viwango vinashuka
 
Sioni watu wakimpa credits Madueke vya kutosha kwa jukumu lake kuu la kuirejesha Chelsea kwenye mchezo katika dakika ya 90. Bila yeye, tungeweza kupoteza mechi ya leo na points zote 3. Mchango wa Madueke unastahili kutambuliwa na kupewa sifa.

1712268570248.png
 
Chelsea walitawala mechi dhidi ya Man U kwa kumiliki mpira kwa 57%, mashuti 28 na 10 kulenga lango, kona 12. Palmer, alifunga hat-trick na kufunga bao la ushindi. Man U walifanya faulo 15 bila njano hata moja, huku Chelsea wakicheza faulo 7 na kupewa njano 3 katika hizo 7. Mechi ilikuwa ya kuigiza na drama nyingi sana kwa sababu timu mbovu imeshinda

1712268792310.png
 
Sioni watu wakimpa credits Madueke vya kutosha kwa jukumu lake kuu la kuirejesha Chelsea kwenye mchezo katika dakika ya 90. Bila yeye, tungeweza kupoteza mechi ya leo na points zote 3. Mchango wa Madueke unastahili kutambuliwa na kupewa sifa.

View attachment 2954066
Madueke na chwukuemeka wamebadili mchezo mm bado sioni haja ya kuanza na viungo wa3 ambao bado wanaruhusu beki kufikika kirahs2
 
Sioni watu wakimpa credits Madueke vya kutosha kwa jukumu lake kuu la kuirejesha Chelsea kwenye mchezo katika dakika ya 90. Bila yeye, tungeweza kupoteza mechi ya leo na points zote 3. Mchango wa Madueke unastahili kutambuliwa na kupewa sifa.

View attachment 2954066
Sio kwamba hawaoni,ila hawaamini wanachokiona
 
Hongereni wadogo zetu wa london.
Kinachoonekana sio team perfomance bali ni individual brilliance.all in all mmepata matokeo and that comes first
 
🤯 Soka ni mchezo wa ajabu na uendawazimu sana saa nyingine
Unakuta kinachachofurahisha sio uchezaji mzuri bali vituko vya wachezaji na mchezo wenyewe uwanjani na nje ya uwanja

⚽️ 4' - Chelsea 1-0 Man Utd
⚽️ 19' - Chelsea 2-0 Man Utd
⚽️ 34' - Chelsea 2-1 Man Utd
⚽️ 39' - Chelsea 2-2 Man Utd
⚽️ 67' - Chelsea 2-3 Man Utd
⚽️ 90+10' - Chelsea 3-3 Man Utd
⚽️ 90+11' - Chelsea 4-3 Man Utd
 
Biblia inasema
"Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake"
Chelsea ilifanya blunder kubwa kushindwa kuthibiti mchezo na kulinda magoli mawili ya kipindi cha kwanza. Hata hivyo walijirekebisha na kufanya msako wa nyumba kwa nyumba hadi makosa yale ya akina Caisedo na Badiashile yakasahihishwa ndani ya sekunde 82 za mwishoni kabisa
 
Defence ya Chelsea ni mbovu kuliko geti la makuti. Mimi sijawahi kumuamini Disasi. Beki mzito kama kafungwa mawe, hawez kutoa majukumu kwa beki zake. Hana control ya mpira.

Mbaya zaidi hizi beki yaani Disasi, Badiashile na ndugu yao Chalobah sio wazuri kwenye kupiga vichwa. Yani kona 12 hakuna hata moja ambayo kimepigwa kichwa cha maana basi hata Golikipa akadaka. Wapiga kona walichelewa sana kupiga kona fupi. Nilikua naangalia game nikamwambia jamaa tangu kona ya nne kwamba wapiga kona wakigundua waache kabisa kona ndefu wapige fupi maana pale hakuna wafungaji.

Tiago Silva na uzee wake anapaswa apate namba tena 90mins ni beki mzuri hata kama hayuko active lkn bado ni beki anayeweza kutoa majukumu kwa wenzake na ku detect threat.

Nimewahi kujiuliza ni kwa nini MP anamuacha Noni nje mpaka dakika za 88. Lkn Noni ni mchezaji ambaye akiingia hata kama hujui mpira unaona kabisa kuna mabadiliko yamefanyika. Cucurela ni beki mzuri( hili nililisema tangu anasajiliwa na mpaka leo bado naamini hvyo)

Palmer hana deni kwetu

Katikati hatuna shida sana vijana wanapokonya mipira na kuanzisha mashambulizi. Shida yetu kubwa ni defence ma striking. Jackson ni mchezaji mzuri lkn hafai kuwa finisher. Anatakiwa apatikane pure number 9 ambao ni wachache sana duniani.

Otherwise ushindi wa dakika za mwisho ni mtamu sana
 
Tumeshinda ki bahati tu, hamna timu pale. Caisedo na Enzo hawa ni viungo gani wanatoa pasi mkaa, pasi hazifiki kwa mlengwa, inasikitisha sana viungo wa bei kubwa kiasi kile ata kupiga pasi ifike mahala husika hawawezi. Mabeki wetu ni hamna kitu kabisa, kocha ndio kilaza kabisa hamna mtu mle. Kiufupi ukimtoa Palmer na Petrovic wengine wote ni matakataka, huo ndio ukweli mchungu.
 
We are not a well coached team.

Kila game tunaonekana kama ndio tumekutana mara ya 1.

Kila mahal ndani ya uwanja tunaacha space space space

Kila gameweek tunafungwa magoal yale yale

poch ndio tatizo kuu kwq sasa na hii yote ni kwa sababu ya profile ya wachezaj wetu na Poch haviendani
 
Kila nikikutana na sentensi kama hizi huwa naishia kucheka na kuamini kweli mashabiki huwa hawaeleweki na hufanya na kusema kulingana hisia zake zinavyomtuma wakati huo.
Naamini hata Potter angepewa team kuanzia pre season tusingekuwa hivi
Yule Potter alitekua mvivu kufanya sub na akifanya sub ni hovyo, mpira haueleweki sasa hivi unamtaja hapa
 
Kila nikikutana na sentensi kama hizi huwa naishia kucheka na kuamini kweli mashabiki huwa hawaeleweki na hufanya na kusema kulingana hisia zake zinavyomtuma wakati huo.

Yule Potter alitekua mvivu kufanya sub na akifanya sub ni hovyo, mpira haueleweki sasa hivi unamtaja hapa
Elewa nilichoandika hapo keyword “Pre Season”
Kwani Poch sub zake zikoje ?

Poch ameanza na team tangu pre season ila kila siku utasema ni genge la wahuni limekutana kwa mara ya 1
 
Remaining fixtures of the 23/24 season:

Sheffield United (A)
Everton (H)
Man City (FA Cup)-Semi Final
Arsenal (A)
Aston Villa (A)
Tottenham (H)
West Ham (H)
Nottingham Forest (A)
Brighton (A)
Bournemouth (H)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom