Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tumeshinda ki bahati tu, hamna timu pale. Caisedo na Enzo hawa ni viungo gani wanatoa pasi mkaa, pasi hazifiki kwa mlengwa, inasikitisha sana viungo wa bei kubwa kiasi kile ata kupiga pasi ifike mahala husika hawawezi. Mabeki wetu ni hamna kitu kabisa, kocha ndio kilaza kabisa hamna mtu mle. Kiufupi ukimtoa Palmer na Petrovic wengine wote ni matakataka, huo ndio ukweli mchungu.
Mfumo wa kocha umewapoteza. Enzo ameprove wakati wa Potter na Lampard. Hata huyu Caicedo mfumo na pattern ya Kocha imemvuruga. Kwa ufupi hawa wachezaji wengi hawaendani na Pochettino. Akiendelea kukaa sana ataua vipaji vya hao wachezaji, aidha wauzwe na Poche aletewe wachezaji wanaoendana na yeye anavyotaka vinginevyo huyu ni wa kumtimua na kuleta kocha anayeweza kuinua tena viwango vyao
 
We are not a well coached team.

Kila game tunaonekana kama ndio tumekutana mara ya 1.

Kila mahal ndani ya uwanja tunaacha space space space

Kila gameweek tunafungwa magoal yale yale

poch ndio tatizo kuu kwq sasa na hii yote ni kwa sababu ya profile ya wachezaj wetu na Poch haviendani
Kama jana space ilikuwa kubwa hasa kipindi cha pili. Yaani Manjesta wanakuja kupitia uwazi hadi kwa akina Disasi na kocha hafanyi hata jambo kuondoa hilo. Mechi chache ambazo Chelsea hawakuacha uwazi kwenye kiungo tulicheza vizuri na kushinda au kudroo. Mbona tukicheza na timu kubwa hatuachagi nafasi?
 
Defence ya Chelsea ni mbovu kuliko geti la makuti. Mimi sijawahi kumuamini Disasi. Beki mzito kama kafungwa mawe, hawez kutoa majukumu kwa beki zake. Hana control ya mpira.

Mbaya zaidi hizi beki yaani Disasi, Badiashile na ndugu yao Chalobah sio wazuri kwenye kupiga vichwa. Yani kona 12 hakuna hata moja ambayo kimepigwa kichwa cha maana basi hata Golikipa akadaka. Wapiga kona walichelewa sana kupiga kona fupi. Nilikua naangalia game nikamwambia jamaa tangu kona ya nne kwamba wapiga kona wakigundua waache kabisa kona ndefu wapige fupi maana pale hakuna wafungaji.

Tiago Silva na uzee wake anapaswa apate namba tena 90mins ni beki mzuri hata kama hayuko active lkn bado ni beki anayeweza kutoa majukumu kwa wenzake na ku detect threat.

Nimewahi kujiuliza ni kwa nini MP anamuacha Noni nje mpaka dakika za 88. Lkn Noni ni mchezaji ambaye akiingia hata kama hujui mpira unaona kabisa kuna mabadiliko yamefanyika. Cucurela ni beki mzuri( hili nililisema tangu anasajiliwa na mpaka leo bado naamini hvyo)

Palmer hana deni kwetu

Katikati hatuna shida sana vijana wanapokonya mipira na kuanzisha mashambulizi. Shida yetu kubwa ni defence ma striking. Jackson ni mchezaji mzuri lkn hafai kuwa finisher. Anatakiwa apatikane pure number 9 ambao ni wachache sana duniani.

Otherwise ushindi wa dakika za mwisho ni mtamu sana
Ubovu wa mabeki unakolezwa na balance mbovu iliyo kwenye midfield, Naona Caicedo na Enzo ni box2box midfilders kwa hiyo mara nyingi wanahama. Tunahitaji DM wa kutohama na kuhakikisha mabeki wanalindwa
 
Remaining fixtures of the 23/24 season:

Sheffield United (A)
Everton (H)
Man City (FA Cup)-Semi Final
Arsenal (A)
Aston Villa (A)
Tottenham (H)
West Ham (H)
Nottingham Forest (A)
Brighton (A)
Bournemouth (H)
Hizi Fixtures ni nzuri sana, kama huyu kocha akiacha kuwa mwehu, tutapata points za kutosha kushika namba 6 au 7
 
Huyu Dalot ndie walimsema ni bora kuliko Gusto???
Anachambuliwa na Palmer kama Karanga

 
Cole Palmer tayari ameisha ingia kwenye orodha ya Legends wa Chelsea ndani ya msimu mmoja na akiwa chini ya miaka 22. What a sighning!

 
1712320198623.png
 
KIPORO IMEPANGIWA RATIBA

Chelsea v Tottenham
itachezwa Alhamisi tarehe 2 Mei saa 19:30 saa za Uingereza na moja kwa moja kwenye Sky Sports.

Chelsea v West Ham sasa imesogezwa hadi Jumapili ya Mei 5 na itaanza saa 14:00 saa za Uingereza kutokana na mechi ya Tottenham.
 
Tumetoutiana point 5 na Man Utd aliye nafasi ya 6. Kama tutashinda mechi ya Jumapili ugenini dhidi ya Sheffield tunabakisha point 2 huku tukiombea Man Utd apoteze dhidi ya Liverpool J2 hiyohiyo na hapo tutakua bado na kiporo cha mechi moja.

Maana yake ni kwamba nafasi ya kuingia top 6 bado ipo mkononi mwetu.
 
Ubovu wa mabeki unakolezwa na balance mbovu iliyo kwenye midfield, Naona Caicedo na Enzo ni box2box midfilders kwa hiyo mara nyingi wanahama. Tunahitaji DM wa kutohama na kuhakikisha mabeki wanalindwa
Kuna muda huwa nasema bora yule Zacharia , kama asingekuwa injury prone , tungekuwa na mtu wa maana pale kati
 
Tumetoutiana point 5 na Man Utd aliye nafasi ya 6. Kama tutashinda mechi ya Jumapili ugenini dhidi ya Sheffield tunabakisha point 2 huku tukiombea Man Utd apoteze dhidi ya Liverpool J2 hiyohiyo na hapo tutakua bado na kiporo cha mechi moja.

Maana yake ni kwamba nafasi ya kuingia top 6 bado ipo mkononi mwetu.
Pochettino sasa shida yake mechi za kushinda ndizo anazoshindwa
 
We are not a well coached team.

Kila game tunaonekana kama ndio tumekutana mara ya 1.

Kila mahal ndani ya uwanja tunaacha space space space

Kila gameweek tunafungwa magoal yale yale

poch ndio tatizo kuu kwq sasa na hii yote ni kwa sababu ya profile ya wachezaj wetu na Poch haviendani
Ukisema poch tatzo nakupinga,,,,,
 
Remaining fixtures of the 23/24 season:

Sheffield United (A)
Everton (H)
Man City (FA Cup)-Semi Final
Arsenal (A)
Aston Villa (A)
Tottenham (H)
West Ham (H)
Nottingham Forest (A)
Brighton (A)
Bournemouth (H)

To be honest mukimpiga City hili kombe la FA kwa wapinzani waliobakia munalibeba mapema sana.

Kiufupi hapa mushapata Kombe la kumcheka Arsenal
 
Alejandro Garnacho alitunukiwa Mchezaji Bora wa Mechi katika dakika ya 93 dhidi ya Chelsea.

Cole Palmer kisha akakamilisha hat-trick yake dakika 8 baadaye na uamuzi ukabatilishwa

1712355134487.png
 
Tunaongelea ushindi ila midfield yetu haieleweki kucheza na enzo na Caisedo ni tatizo kubwa hakuna anayelinda back four ,hakuna anayenusa hatari wote unawakuta mbele huko gape ni kubwa kati ya midfields na mabeki wa kati ,jibu ya haya yote ni LAVIA ambaye ni mgonjwa 24/7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom