Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Haya umesema wewe kwa maono yakoKuna shida zingine ila swala la uchezaji,kujilinda etc hapo ni kocha
Matatizo ya uwanjani 70% ni Poch hiyo 30% ndio wachezaji sasa
Haya umesema wewe kwa maono yakoKuna shida zingine ila swala la uchezaji,kujilinda etc hapo ni kocha
Matatizo ya uwanjani 70% ni Poch hiyo 30% ndio wachezaji sasa
Ebu acha hiyo drama yako mkuu unajichora bure, ubovu wa wachezaji nani abebe lawama. Pochettino anampanga huku aklijua tatizo lakeMkuu kwani Badiashile ni mchezaji wa timu gani?
Siku zote huwa nawaambia matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake nyie huwa mbasema namtetea.
Huu upumbavu mlofanya leo msiurudie j2...chondechondeHongereni The Blues kwa kupiga comeback kwenye dakika za majeruhi.
Hakika Chelsea ni Club kubwa sana duniani, mnaastahili walau muwepo kwenye top 10.
View attachment 2954049
Badiashile ni kilema na mzigo sikuhizi huyu jamaa , bora dogo Gilchrist awe anaanza tuKumchezesha Badishile kwenye CB ni uamuzi wa kijinga. Ametutosa mechi nyingi sana tangu arudi kutoka majeruhi na kocha bado hashtuki. Silva yuko, academy wapo kwa nini asitolewe?
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄Mnapenda tuwakaange goal ngapi leo nyie chelkenge maana saizi nyie ni moja ya vibonde wetu hapo England.View attachment 2953827
Sisi kama Chelkenge tunawashukuru sana manyumbu kwa kutusaidia kusogelea top 10 angalau kiduchuMashetani wanachomoa na wanachomeka.
Hii game tulikua tumepanga tuwaachie ili na nyinyi mjivute vute walau muwepo kwenye top 10, lakini nyie Kenge mnaonekana hampo serious kabisa mpaka damu zuwatoke masikioni. View attachment 2954032
Magoal tunayofungwa ni yale yale kila wiki , Yani nahis hata mazoezini hakuna wanachofundishwa.Badiashile ni kilema na mzigo sikuhizi huyu jamaa , bora dogo Gilchrist awe anaanza tu
Kuna wazee humu watakuambia tatizo ni la wachezaji, tushukuru leo tulikuwa na manyumbu wa SerengetiHuyu mwanzoni ulikuwa humwambik kitu kuhusu Poch ila taratibu dawa ishaanza ingia.
No setup ya team yan tunacheza ilimradi tucheze msim now unakaribia kuisha ila kila game unaweza sema ndio mara ya kwanza tunakutana uwanjana
Naamini hata Potter angepewa team kuanzia pre season tusingekuwa hivi
Huu upumbavu mlofanya leo msiurudie j2...chondechonde


Jumapili inabidi tuchapike kwelikweli ili akili ikae sawa.