juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Kocha yako hajui swala la defence magoal tunayofungwa ni yale yale kila gameShida kushilia bomba tu. Sijui
Kocha yako hajui swala la defence magoal tunayofungwa ni yale yale kila gameShida kushilia bomba tu. Sijui
Kumchezesha Badishile kwenye CB ni uamuzi wa kijinga. Ametutosa mechi nyingi sana tangu arudi kutoka majeruhi na kocha bado hashtuki. Silva yuko, academy wapo kwa nini asitolewe?Kikosi cha pamoja kati ya Chelsea na Manchester United kwenye Uwanja wa Stanford Bridge tarehe 4 Aprili 2024. Ndiyo, nimeweka kwa maoni yangu kutokana na wachezaji wanaopatikana kwa mchezo wa leo. Wacha tuone jinsi wachezaji hawa wanavyopambana uwanjani!
View attachment 2953795
Kocha wa Chelsea yako sio kocha wanguKocha yako hajui swala la defence magoal tunayofungwa ni yale yale kila game
Sijawah kumkubaliKocha wa Chelsea yako sio kocha wangu
Si mnamtetea kwa nguvu zote, ona Badiashile katutosa mechi nyingi anaendelea kumpanga tu na atacheza hadi dk 90 zipite alivyo hana akili. Chalobah, Silva na Gilchrist wapo ila wewe subiri uone hadi atutose la tatu na la nne hatashutuka huyo tapeli wa sokaKocha wa Chelsea yako sio kocha wangu
Sawa nduguSijawah kumkubali
Mkuu kwani Badiashile ni mchezaji wa timu gani?Si mnamtetea kwa nguvu zote, Badiashile katutosa mechi nyingi anaendelea kumpanga tu na atacheza hadi dk 90 zipite alivyo hana akili. Chalobah, Silva na Gilchrist wapo ila wewe subiri uone hadi atutose la tatu na la nne hatashutuka huyo tapeli wa soka
Leo mashetani hawachomoi


Mashetani wanachomoa na wanachomeka. Palmer amedandia mtumbwi wa vibwengoNamuonea huruma palmer
Kuna shida zingine ila swala la uchezaji,kujilinda etc hapo ni kochaMkuu kwani Badiashile ni mchezaji wa timu gani?
Siku zote huwa nawaambia matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake nyie huwa mbasema namtetea.