Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,194
- 21,527
Chelsea ilishapeleka taarifa ya kutopata taarifa sahihi ya matumizi hasa kwenye mauzo ya Hazard kutoka Lille kuja Chelsea. Hivyo kwa namna fulani hiyo ni kinga ya rungu ambalo tungetandikwa kwa sababu tayari taarifa wanazo.Chelsea wanakabiliwa na adhabu ikiwa ni pamoja na kukatwa pointi au kufukuzwa katika Ligi Kuu ya Uingereza iwapo watapatikana na hatia ya kukiuka sheria za matumizi chini ya umiliki wa Abramovich.
@ByRobDavies '
@JacobSteinberg