lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Endrick: “I was attracted by the Premier League, the city of London and the fact that English is the economically dominant language in the world. And obviously, Chelsea is a strong brand that has won two Champions Leagues trophies” (@TheAthleticFC)
Endrick: “Nilivutiwa na Premier League, jiji la London na ukweli kwamba Kiingereza ndiyo lugha inayoongoza kiuchumi duniani. Na ni wazi, Chelsea ia jina lenye nguvu ambayo imeshinda mataji mawili ya Ligi ya Mabingwa” (@TheAthleticFC) #CFC
Maoni yangu
Kipaji cha kipekee cha Enrick hakika itaipaiza Real Madrid kwenye ngazi nyingine ya ubora akiungana na Mbape. Kwa upande mwingine, Kendry Paez, mwanasoka mahiri katika umri mdogo wa miaka 16 tu ataipeleka Chelsea kwenye ukurasa mpya cha mafanikio kutokana na ustadi wake wa ajabu kwenye kiungo na winga. Akishirikiana na akina Palmer, Nkunku, Jackson, Omar, Angelo, Mudryk, Chelsea itatesa sana
Tuombe Mungu tusipitiwe na panga la FFP