Hamna kocha humo.
Kubaya huko mkuuu 😂😂 wasikuskiee
1711819519138.png
 
Ufupi, kuna siku nilisema hapa, timu ni ya 18 EPL kwa kuwa na wachezaji warefu au kwa maneno mengine timu ni ya tatu EPL kwa kuwa na wachezaji wafupi
Mkuu defending ya set pieces imekuwa awful tangu Pochetino aje.

tumewahi kuwa na team yenye Jorginho,Kante,Azplicueta,Werner,Kovacic,Mount,James,Chilwell

Warefu walikuwa ni Rudiger,Christiansen,Silva na Kai

Na tulikuwa hatufungwi magoal ya juu mara kwa mara

Coaching ni tatizo na ndio maana board imebid imuappoint kwa lazima kocha wa set pieces kuanzia msim ujao kutoka Brentford japo mwanzon poch alikataa alisema hakuna haja
 
  • Thanks
Reactions: K11
Udhaifu kwenye kukaba na ufupi wa wachezaji umetuponza na kuifanya Chelsea kushindwa kuifunga timu dhaifu ya Burnley iliyocheza pungufu ya wachezaji 10 takribani nusu ya dakika 90 za mchezo
Hii issue ya ufupi sio genuine mkuu,
Kila kitu ni coaching jins ya kudefend na kuattack set pieces

Kante alikuwa mfupi ila angalia jins mipira ya juu alivyokuwa anadefend
Ashley Cole,Ivanovi,Azplicueta wote hawa hawana urefu wa kulingana na kina silva au disasi au badiashile ila walikuwa wanadefend vizuri mipira ya juu

Poch ameshindwa kuisuka defenc hakuna kupepesa macho
 
Pochettino anategemea Data badala ya kushughulikia tatizo la ukosefu wa mfumo wa uchezaji, uwezo mdogo wa kujilinda, sydrome ya kipindi cha pili, kushindwa kuwania mipira ya juu na mengine mengi. Takwimu hazitatushindia mechi, data haitamfanya kuwa kocha mzuri, lakini matokeo mazuri yatamfanya
 
Wachezaji wetu ndio wachanga zaidi kwenye ligi
Moja ya timu zenye wachezaji wafupi kwenye ligi (ya 3 kwa ufupi)
Wachezaji ni wapya zaidi kwenye EPL
Jumlisha Kocha feki na wamiliki hewa
 
  • Thanks
Reactions: K11
Pochettino anategemea Data badala ya kushughulikia tatizo la ukosefu wa mfumo wa uchezaji, uwezo mdogo wa kujilinda, sydrome ya kipindi cha pili, kushindwa kuwania mipira ya juu na mengine mengi. Takwimu hazitatushindia mechi, data haitamfanya kuwa kocha mzuri, lakini matokeo mazuri yatamfanya
Game nyingi sana 2nd half tumepotezs point
Game ambayo umekuta 1st half tunaongoza ila 2nd half tumeenda gawa point
 

Attachments

  • IMG_2410.png
    IMG_2410.png
    9.5 KB · Views: 2
Mambo mazuri sana haya
Piga kazi baba 😁😁😁 nani kama wewe uliyewachallange Paul Wistanley na lawrance Stewart
 

Attachments

  • IMG_2410.png
    IMG_2410.png
    9.5 KB · Views: 3
Cole Palmer amekerwa na kiwango cha Chelsea:

"Ni mbaya. Haiwezi kutokea, haswa wanaposhuka hadi kumi. Tulijisahau tukabweteka sana.

Stori ile ile, tunajiua wenyewe kila wiki. Lazima tuimarike kama wachezaji. Tunahitaji sana kuimarisha kiwango ikiwa tunataka kufanya jambo"

{Sky Sports}
1711822933176.png
 
  • Thanks
Reactions: K11
Katika mechi hii ya leo, kwa mara ya kwanza Petrovic alituangusha, hakudaka vyema mpira, alidaka mpira wa kichwa kizembe sana.

1711823194666.png
 
Chelsea have now conceded 47 goals in the Premier League this season, equalling the amount of goals they conceded the whole of last season! - per
@OptaChels
 
  • Mshangao
Reactions: K11
Katika mechi hii ya leo, kwa mara ya kwanza Petrovic alituangusha, hakudaka vyema mpira, alidaka mpira wa kichwa kizembe sana.

View attachment 2949379
Siwez mlaum petrovic japo pale alifanya kosa ila Jins tunavyocheza 2nd half na how we defend hapo ndipo maswali yanapokuja

Jay rodriguez ametukosa mwishon akahit cross bar

Jins tunavyojilinda hapo ndipo maswal yanapokuja
 
Siwez mlaum petrovic japo pale alifanya kosa ila Jins tunavyocheza 2nd half na how we defend hapo ndipo maswali yanapokuja

Jay rodriguez ametukosa mwishon akahit cross bar

Jins tunavyojilinda hapo ndipo maswal yanapokuja
Hatuna mabeki wenye uwezo wa kukuwin mipira ya juu, timu nzima pia sio nzuri kwenye kuwin duels
 
Hamna kitu hapa , ni nilishasema .Hatufiki popote na huyu tutusa Poch na watoto wake ,
Tunahitaji a no nonsense coach
Ule ujinga wa " lads gave everything unaendelea "
 
Mauricio Pochettino

“Wanatakiwa watambue kuwa tunakosa kitu ndiyo maana tupo hapa tulipo, leo ni wazi kwamba tunapokuwa hatuna mpira hatuchezi vizuri na hatukuwa na uwezo wa kupora a kurudisha mpira kwenye umiliki wetu na kuwaruhusu kuvuka kwa urahisi kutoka eneo moja hadi lingine."

Maoni yangu
Hayo ni majukumu ya kocha mkuu lakini sasa Pochettino analia kama shabiki wa Chelsea
 
Back
Top Bottom