lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Zaniolo:
"Unai Emery ni mmoja wa makocha bora duniani, katika kiwango sawa na akina Pep Guardiola, Klopp na Mourinho".
"Ni kweli, sipati muda wa kutosha wa kucheza na nilikuwa nikitarajia zaidi ...".
"Lakini mimi ni mkweli kiasi cha kutosha kusema kwamba Emery ni kocha wa kiwango cha kimataifa", aliiambia CorSport.
DUH!!
KAMSAHAU POCHETTINO
Kuna shabiki moja akasema kwamba hata Pochettino mwenyewe asingejitaja hapo