arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,362
- 4,420
Inaonekana una hofu na sisi kuliko Hawa wazee wa reggae...biashara yetu ipo palepale tukikutana na nyny[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee kila msimu mnajikuta bado mpo phase 1 kama Arsenyeto.
Ila binafsi naamini Chelsea atabeba Epl kabla ya Arsenyau, kikubwa tafuteni kwanza kocha mwenye rasta au dread kisha mtakuja kunishukuru baadae.
Ndugu nyie EPL hambebi kabla yetu sisiInaonekana una hofu na sisi kuliko Hawa wazee wa reggae...biashara yetu ipo palepale tukikutana na nyny
Klopp anasepa na utawala wenu. Mnageuka Chelsea ya lampard kesho kutwa tu hapo. Yaani very soon.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et Liverkuku hawata fanya lolote msimu ujao yaani vishabiki vya Arsenyani bhana [emoji2][emoji2]. Alafu Great Finisher pale Chelsea si tumekubaliana ni Jackson? [emoji2][emoji2]
Heri tuwe na De Zerbi kuliko kuwa na Pochetino kama hatuwez mpata AmorinBasi makombe tusahau
De Zerbi kocha mdogo hawezi kuhimili presha ya mashabiki sumu wa THE BLUESHeri tuwe na De Zerbi kuliko kuwa na Pochetino kama hatuwez mpata Amorin
De zerbi kamshinda Pochetino kiufundi baadhi ya wachezaj waliokuwa chini yake walifanya vizuri mudryk,caicedo,colwil
Sehem pekee anayonitia mashaka ni swala la defence tu ila mengineyo yuko vizuri labda ni kwa sababu yuko team ndogo ila wachezaj wetu tulionao wanaendana sana na uchezaji wa De Zerbi
Ni heri tuwe na De Zerbi kuliko kuwa na na Pochetino
Kitu cha kujua lazima ujue unawachezaj wa namna gani na wanaendana na style ipi ya uchezaji na kocha yupo anayetumia hiyo styleKama ilivyo kwa wachezaji hata makocha pia kuna baadhi yao ni wa timu ndogo kwa maana ya kutaka muda kuweza kufit in formation yake kwa wachezaji, kuhandle pressure, kuwin dressing room, lakini pia kusajili wachezaji wake. Sasa wengi wetu kwa ufinyu wa maarifa namna mambo yanavyoenda tunahisi kocha akifanya vizuri timu fulani tunahisi basi hata akienda timu fulani itakua rahisi😂
Tujikumbushe David Moyes na Everton yake walikua moto kweli lakini alipoenda Man Utd mambo yalikwenda hovyo ndani ya msimu mmoja akatolewa, Steven Gerald alipokua Rangers mpaka akabeba ubingwa lakini alipoenda Aston villa mambo yalimwendea kombo akatolewa, Potter yule na Brighton yake alipikuja Chelsea kila mtu akabaki anashangaa.
Wanaochagua makocha wanaangalia mambo mengi sio kirahisi rahisi tu kama tunavyoandika hapa.
Hakuna kocha wa team mkubwa unaeweza mtoq sasa mpira ushabadilika sahivDe Zerbi kocha mdogo hawezi kuhimili presha ya mashabiki sumu wa THE BLUES
Hata aje kocha gani kwa aina ya wachezaji tulionao anahitaji si chini ya msimu mmoja ku cope formation yake kulingana na wachezaji waliopo. Mind you hapo nimefanya consideration ya majeruhi waliopo na wajao pamoja kufanya sajili zake mwenyewe.Kitu cha kujua lazima ujue unawachezaj wa namna gani na wanaendana na style ipi ya uchezaji na kocha yupo anayetumia hiyo style
So appointment ya poch haikufaa kutokea kwa sababu ya aina ya wachezaji tulio nao
Kuna baadhi ya makocha wanaweza adapt Kutokakan na wachezaji waliopo
DuhKama ilivyo kwa wachezaji hata makocha pia kuna baadhi yao ni wa timu ndogo kwa maana ya kutaka muda kuweza kufit in formation yake kwa wachezaji, kuhandle pressure, kuwin dressing room, lakini pia kusajili wachezaji wake. Sasa wengi wetu kwa ufinyu wa maarifa namna mambo yanavyoenda tunahisi kocha akifanya vizuri timu fulani tunahisi basi hata akienda timu fulani itakua rahisi😂
Tujikumbushe David Moyes na Everton yake walikua moto kweli lakini alipoenda Man Utd mambo yalikwenda hovyo ndani ya msimu mmoja akatolewa, Steven Gerald alipokua Rangers mpaka akabeba ubingwa lakini alipoenda Aston villa mambo yalimwendea kombo akatolewa, Potter yule na Brighton yake alipikuja Chelsea kila mtu akabaki anashangaa.
Wanaochagua makocha wanaangalia mambo mengi sio kirahisi rahisi tu kama tunavyoandika hapa.
Katika mabishani yetu tupishana mambo mengi na tunakubaliana mambo kadhaa piaHata aje kocha gani kwa aina ya wachezaji tulionao anahitaji si chini ya msimu mmoja ku cope formation yake kulingana na wachezaji waliopo. Mind you hapo nimefanya consideration ya majeruhi waliopo na wajao pamoja kufanya sajili zake mwenyewe.
Hakuna uchawi hapo huwa iko ivyo always. Otherwise ukute wacheza pro wako wengi.
MAandishi yangu hayakumaanisha makocha wote nilimaanisha baadhikama hao niliowatolea mfano. Kwahiyo kwa case kama hizo za Arteta na Alonso kufanya vizuri ndio upande ambao sikumaanisha.Duh
Arteta yeye lini kaanza kuwa wa timu kubwa
Xavi Alonso na yeye je
Hawa wa timu kubwa wengi wameshachuja, hawako tena kwenye ulingo
Nyakati zinabadilika ndugu, DiZerbi ni kocha mchanga, anafundisha soka la kisasa. Sisemi akija atapata mafanikio ila huwezi kulinganisha na Pochettino ambaye ni style ya Potter wa Argentina
Chelsea ni team yenye pressure kubwa sana ni ngumu kwa kocha mdogo kama yeye kuimiri atakuja kuwa kama Graham Potter tu, Chelsea inahitaji kocha mzoefu na mwenye uwezo wakudevelop talent huyo ndio pekee anaweza kutupeleka nchi ya ahadi tofauti na hapo tunakuwa team yakufukuza tu makocha.Heri tuwe na De Zerbi kuliko kuwa na Pochetino kama hatuwez mpata Amorin
De zerbi kamshinda Pochetino kiufundi baadhi ya wachezaj waliokuwa chini yake walifanya vizuri mudryk,caicedo,colwil
Sehem pekee anayonitia mashaka ni swala la defence tu ila mengineyo yuko vizuri labda ni kwa sababu yuko team ndogo ila wachezaj wetu tulionao wanaendana sana na uchezaji wa De Zerbi
Ni heri tuwe na De Zerbi kuliko kuwa na na Pochetino
Tukubaliane tu kwamba soka linaenda likibadilika, unawaweza ukawahukumu makocha kama akina MOU lakini kwa hawa vijana ambao bado hawajabeba makombe hatuwezi kuwahukumuMAandishi yangu hayakumaanisha makocha wote nilimaanisha baadhikama hao niliowatolea mfano. Kwahiyo kwa case kama hizo za Arteta na Alonso kufanya vizuri ndio upande ambao sikumaanisha.
Unamuonaje Dizerbi, mtoto wa mjini yuleChelsea ni team yenye pressure kubwa sana ni ngumu kwa kocha mdogo kama yeye kuimiri atakuja kuwa kama Graham Potter tu, Chelsea inahitaji kocha mzoefu na mwenye uwezo wakudevelop talent huyo ndio pekee anaweza kutupeleka nchi ya ahadi tofauti na hapo tunakuwa team yakufukuza tu makocha.
Kama kocha wa team ndogo anademand matokeo na anaweka pressure hadi kwa marefaChelsea ni team yenye pressure kubwa sana ni ngumu kwa kocha mdogo kama yeye kuimiri atakuja kuwa kama Graham Potter tu, Chelsea inahitaji kocha mzoefu na mwenye uwezo wakudevelop talent huyo ndio pekee anaweza kutupeleka nchi ya ahadi tofauti na hapo tunakuwa team yakufukuza tu makocha.
Hao makocha vijana mazingira ya kufanya kazi THE BLUES yatakuwa magumu kwa sababu ya presha kubwa kutoka kwa mashabiki sumu.Hakuna kocha wa team mkubwa unaeweza mtoq sasa mpira ushabadilika sahiv
Wapo makocha wanakuja vizuri hawa vijana
De Zerbi ni vile labda amekosa team yenye hela mule kuna kocha kuna makocha impact yao inaonekana ndani ya muda mfupi tu alivyoikuta brighton na ya sasa hiv nitofauti ni kocha anaebadilika kutokana na mchezo unavyoenda
Amorin ni mzuri
Alonso ni mzuri
Inzaghj ni mzuri
Mashabiki siku zote huwa wanakupa mda wanaangalia na mwelekeo wa team + wewe kocha unavyoelezea.Hao makocha vijana mazingira ya kufanya kazi THE BLUES yatakuwa magumu kwa sababu ya presha kubwa kutoka kwa mashabiki sumu.
Mazingira yao yakufanya kazi yanafanana na team yetu hilo umeliangaliaKama kocha wa team ndogo anademand matokeo na anaweka pressure hadi kwa marefa
Angalia kocha anapokuwa kwenye touchline halaf njoo kwa poch uone yupi anayewela pressure na yupi anafaaa kufundisha team mkubwa na yupi anafaa kufundisha team ndogo
Kingine kwa sasa huwezi pata kocha mzoefu makocha wote wazoefu wapo kwenye vilabu
Huyo poch sianauzoefu kipi amefanya mpaka sasa
Arteta ni Arsenal ni team yake ya kwqnza angalia alichoarchiev
Xabi Alonso msim wake wa 2 huu kama sijakosea ila angalia kipi amefanya
Ruben Amorim angalia alichokifanya
Muangalie Simeone Inzaghi ametokea Lazia angalia anachokifanya
Unahisi sahiv tunauwezo wa kwenda kumtoa Don Carlo Madrid
Sahiv makocha wengi wazuri badi vijana