Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
Hahahah leo hamna cha hazard wala indicator mourinho kawekwa kapuni na mbinu zake za hovyo eti anamuweka ramires na. Kumi.
dk zakumalizia kuonesha we are city..
Torress hajagusa mpira tangu aingie...hatari sana hiibeki ya City
Na Mpira umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hapaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
City kifua mbele/.....Chelsick OUTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTT
Dawa ya wenye makelele ni kuwadhalilisha kama hivi.
Mbuzi cup
Pole sana kanywe panadol na piriton najua leo huezi pata usingizi
Hembu rudia....kuvuna magoli kombe la mbuzi.???????????????????????????????????????????????????????? smell pussyTorres na Salah wataanza kuvuna magoli
atarudi kesho asubuhi akishapoa machungu..
Tujipange mwakani, ilikuwa si rahisi sana kuwafunga hawa jamaa mara tatu mfululizo.Mbuzi cup
Pole sana kanywe panadol na piriton najua leo huezi pata usingizi
hii ni stats za hazardHahahah leo hamna cha hazard wala indicator mourinho kawekwa kapuni na mbinu zake za hovyo eti anamuweka ramires na. Kumi.