Red wa pembeni anawabeba Chelsick...anakataa goli la Lescott..ingekuwa 5-0 sasa
mkuu Sizinga unawapa watu presha, mi hapa ubao ulianza kusoma 3-0 vp imefika 5?
Last edited by a moderator:
Red wa pembeni anawabeba Chelsick...anakataa goli la Lescott..ingekuwa 5-0 sasa
Dzeko anawakosa goli la 6 hatari hapa....dakika ya 89Katikati kumekufa kabisa
Dzeko anawakosa goli la 6 hatari hapa....dakika ya 89
negredo in dzeko out
Aisee hawa City hatari sana..na wakati huu kaingia Negredo kukandamiza goli zaidi...subiria tu mkuu wangu
Dah Chelsick hali mbaya Morinyo hana hamu huku nje.....na City wanakaza mbaya...nusu uwanja sijawahi ona!! Ntuzu
eti enheee...Msijali sana hili ni kombe la mbuzi
Halituumizi kichwa.,..Negredo anawakosa goli la 7 hapa...dakika ya 92Msijali sana hili ni kombe la mbuzi