Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Kwani mpaka sasa Mourinho kafa ngapi?Ramires nje.......shenzy taipu
Kapigwa 4-0 mkuuKwani mpaka sasa Mourinho kafa ngapi?
"Nlikuwepo":bolt:
Kwani mpaka sasa Mourinho kafa ngapi?
"Nlikuwepo":bolt:
Pole...kamwambie refa,si hayatuhusuPure offside
Nop!!! Hakuna hicho kitu!
Daah,nilitaka nikutane nae final.Ila hata nikikutana na man city haina mbaya...2 kwa bila
Ntuzu unaona sasa nilikwambia mapema kabla haijawa msala.. Sasa hapo tren ishafel brek hadi ifike ubungo maziwa itakua ishaua 5.
Eeh game nzuri sana hiiGame sio mbaya Mkuu!