Mourihno sijui atakuja na Taarabu gani baada ya kichapo cha leo...
Game bado sana mkuu
Sioni dalili ya Chelsea kushinda hii game...hawashambulii na wapo nyuma
Mourihno sijui atakuja na Taarabu gani baada ya kichapo cha leo...
kitaingia cha pili soon tu..Ndugu yangu ntuzu mwambie kocha wako amtoe david luiz amwingze cole, ivanovic arudi kati,azpiculeta aende kulia. Huyu beki wenu mapepe atawakost sana
Ndugu yangu ntuzu mwambie kocha wako amtoe david luiz amwingze cole, ivanovic arudi kati,azpiculeta aende kulia. Huyu beki wenu mapepe atawakost sana
Ramires nje.......shenzy taipu