Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Mi niko puwa kabisa
hii ni stats za hazard
Hahahah leo hamna cha hazard wala indicator mourinho kawekwa kapuni na mbinu zake za hovyo eti anamuweka ramires na. Kumi.
ni dk 90 mpira umeamini hilo na dzeko sio straiker hata siku moja zilikuwa saba tu..
Game haijapewa umuhimu mkubwa dude! We hujaona ata uchezaji Wa timu zote?
![]()
Mmechezea kichapo, mmekula mkong'oto pamoja na Dawood kuwasaidia lakini wapi. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hizo sababu za mfa maji mkuu wachezaji wanapewa yellow card unasema game haijapewa umuhimu wasingekaba basi,moou amechezesha majembe yake yote unasema game haina umuhimu?? Hahahah hicho ni kifo cha mfa maji.....
Leo ntalala UNONO manake huyu Mnyamavi morinyo angechonga sana media za kesho....
jamani aliyemuona hazard anibipu..
Si kwamba ni sababu tu. Hayo hujayaona Leo?
Game haijawa Nzuri na kuvutia kwa timu zote!
Game haijapewa umuhimu mkubwa dude! We hujaona ata uchezaji Wa timu zote?
Ha ha ha haaaaa! Mou Haongei sn Siku hizi Mkuu!
Vipi umemtumia matokeo yule aliyeenda harusini.