Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Halaftime, but So far sio mbaya ila bado hatuko vizuri kwenye kuharakisha kuzuia shambulizi. Kuna wakati wanafanya counter tunajikuta tuko watatu kwa wanne.

Halafu Sterling ni kama anatukaba tu.
 
Gusto kapoteza mipira mitatu akiwa mwenyewe, saa nyingine anakosa concetration japo ni mzuri kwa kukaba na kutoa pasi
Caicedo anacheza rafu nyingi sana, ile faulu angekuwa ni yule mzee kipara angekula red
Palmer anavutasana mguu
Sterling sikuona mbio zake
Dakika 10 za mwisho kabla HT Chelsea wanaonekana wamechoka, nguvu ya kupres haipo tena
Mabadiliko
Nkunku aingie mapema kuliko wengine
 
Liverpool wamezidiwa dakika za mwishoni
Wachezaji wao muhimu walichoka wakatolewa
Hawa makinda walioingia tushindwe tu wenyewe
Ningetamani hili gemu lisiingie kwenye matuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom