Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwanza tumecheza bila proper namba kumi, Gallagher ile sio position yake lakini kutokana na ufinyu wa wachezaji ikambidi acheze hapo. Pia kumuanzisha Palmer kama false 9 nadhani Poch alitaka ku impress mashambulizi kwa kuzingatia uwezo wa Palmer finishing zake lakini pia alitaka awe na washambuliaji wengi wenye quality kwa kumuweka na Madueke ndani ndio maana Broja akaanzia nje. Hii inasaidia kwenye transition kutoka kushambuliwa kuja kushambuliwa hasa ukiwa na wachezaji wenye kasi na ilitokea ila kwa upumbavu wa Madueke hatukufanikiwa kupata chochote.
Hata akiwa na wote bado one of the big weakness ya Pochettino ni maamuzi kwenye kupanga wachezaji
Second ni udhaifu kwenye kuusoma mchezo na kufanya best possible subs. Haina excuse Kocha mzuri hata limited resources alizo nazo anatumia vizuri. Kuendelea kumuweka Colwill kwenye LB inafanya timu ilemewe, Colwill hawezi kutract winga wa opponents, hawezi kupeleka mashambulizi kama wingback, ameishia kucheza rafu na kushika wachezaji wanapomzidi speed. Best posotion ya Palmer ni wide wing akitokea kulia, kocha mzuri anatakiwa kujua hilo. Kuwaweka wachezaji out of their positions ni udhaifu miubwa ambao unaigharimu timu. Ghallagher kacheza mara nyingi hiyo nafasi na kacheza vizuri. Gallagher sio CM wa kucheza deep, yeye ni CM wa kushambulia na kudefend. B2B na mara nyingi
Tuseme tu Pochettino kwenye hardplay na softplay ameshindwa kazi
 
Daah aseeh haya maajabu sasa. Leo hii Graham Potter anasifiwa? Eti mchezaji fulani alikua bora chini ya Potter? Hao walikua bora chini ya Potter waliisaidia vipi timu na mbona ikaishia vile kocha kutimuliwa?
Hiyo ni fact na huwezi kuipindisha, Enzo alikuwa superb wakati wa potter, peke yake asingeweza kuisadia timu
Hapa nilipoint jinsi Poche alivyomharibu Enzo na anaendela kuwaaharibu kwa maamuzi yake mabaya na weak training capacity
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=GsRhtnqwqO0
1704868487374.png
 
Sababu 10 za Pochettino OUT hizi hapa anayebisha abishe tu
  1. Wachezaji wanachezeshwa nje ya nafasi zao
  2. Kocha anafanya sub za hovyo hovyo
  3. Timu haina nidhamu
  4. Ukosefu mkubwa wa mbinu za kushinda mechi (winning tactics)
  5. Ukosefu mkubwa wa muundo wa uchezaji hasa kwenye kiungo (Playing pattern)
  6. Kutokuza wachezaji vya kutosha (individual player development)
  7. Udhaifu kwenye kupanga na kusimamia mechi (game plan and management)
  8. Caicedo na Enzo kuharibiwa
  9. Ukosefu wa mifumo wa kujenga mashambulizi na kufunga magoli (lack of attack buildups pattern and scoring goals)
  10. Mabadiliko ya kimtazamo na kiakili (attitude and Mentality change) tangu pre-season.
 
Asilimia 55.2 ya mashambulizi ya Middlesbrough yalishuka upande wa kulia na kushoto mwa Chelsea. Game plan ya Carrick bila shaka ulifanya kazi licha ya kuwa na wachezaji 14 nje (pamoja na wale wawili waliotoka nje katika kipindi cha kwanza).
 
Umejibu vyema kwamba Toddy amefanya biashara nzuri ya kuuza takataka kwa faida , hili ni fanikio kubwa kwa mfanyabiashara yoyote.

Toddy yupo kibiashara zaidi na biashara itamlipa zaidi baadae haswa kwa kasi hii anayoendelea nayo ya kununua vijana wengi wadogo ambao atawauza baadae kwa faida kubwa.

Na hao wachezaji thamani yao sio lazima ipande ndani ya Chelsea bali Toddy amekuja na mpango wa kuwatoa kwa mkopo wakapandie thamani huko huko na kuwauza.

Kwahiyo usishangae hapo baadae Chelsea ndio ikawa club itakayoongoza duniani kuwa na wachezaji wengi wa mikopo kwenye vilabu vingi duniani, na zaidi itakuja kuongoza kwa club inayofanya mauzo makubwa ya wachezaji kutokea kila pande ya dunia.

Mwanzoni nilikuwa najiuliza kwanini Toddy anawekeza sana kwenye kununua wachezaji wengi wadogo na kuwatoa mikopo, jamaa yupo smart sana kwenye biashara.

Itafika mahali kila mchezaji mzuri unayemgusa kwenye vilabu mbalimbali ni mali ya Chelsea.
Hakuna biashara hapo ya kumnunua mchezaji dola mil 120 halafu Pochetinno anshusha dhamnani yake hadi mil 20
Hakuna biashara hapo timu ikishika mkia au kushuka darajani, mauzo ya TV, na ufdhili wote unashuka dhamani yake
Biashara inakuwa pale timu inapofanya vizuri, ikibeba makombe, kandarasi za TV ufadhili unapaa kwenda juu. Hii ya kuuza wachezaji ni income ndogo sana isiyoweza kuipeleka timu popote na kwa mwenendo huu hata hao wachezaji hawataleta faida hata punje. Biashara ya mikopo imebanwa sana wakati wa Roman ndio kulikuwa na bishaar sio sasa
 
Frank Leboeuf:
"Chelsea walipata tu nafasi za kufunga kwa sababu ya makosa waliofanya Middlesbrough. Ndivyo ilivyo. Hakuna mpango. Mpango ni kukaa na mpira halafu hatujui nini tufanye na huo mpira"
 
Mzee umeelewa point yangu?

Sijaongelea mchezaji kupanda thamani ndani ya Chelsea, bali nimeongelea kupanda thamani kwenye vilabu vingine ambapo tumewapeleka wachezaji wetu wengi vijana wadogo.

Chelsea kama Chelsea ni project iliyofeli mpaka sasa hakuna mchezaji aliyepanda thamani ndani ya timu labda kidogo Palmer.

Hawa wakina Enzo, Caicedo watolewe mkopo kwenye vilabu vikubwa vinavyojitambua wakapande thamani tena.
Thamani ya hao wachezaji wa nje, unatania, wameshaanza kurudi, hakuna hata anayefanya vizuri
Hii project inafeli ndani na nje, unampa mchezaji kinda mkataba wa miaka 8 halafu anarelax
 
Baadhi ya mashabikk hawataki elewa hii kitu,

Hawataki elewa umuhim wa kocha mzuri

IMG_1338.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom