Wamefanya maamuzi mabaya ila Pochettino ndio kadidimiza timu kabisa. Kwa maamuzi mabaya ya akina Tod Chelsea chini ya kocha mzuri ingeweza kuwepo kwenye maeneo ya namba 5 au 6 tena hapo kwa sababu Tod Boehly walifanya stupid decision ya kuwaondoa haraka akina Marina, Bruce na Cech nna wengineo na kuwauza wachezaji hata wale wasiostahili.
Bado wamenunua wachezaji wazuri tena sana
- Gusto hii ni namba nyingine kabisa
- Enzo ni bonge la mchezaji na ameprove hilo chini ya Potter
- Caicedo ni kiungo bora kabisa
- Palmer haitaji kutetewa
- Mudryk ni winger mzuri
- Lavia ni the best
- Nkunku ndio usiseme
- Disasi ni bonge la CB, kinachomtokea ni uharamia wa soka. Disasi ni bora kuliko Rudiger alipohamia Chelsea msimu wake wa kwanza, ila chini ya Poche ataonekana mzito na hafai
- Badiashile alikuwa the best CB chini ya Potter, ila sas andio tena
Hiyo list yote na bado wapo zaidi, huwezi kusema Tod na Eghbali wamefanya decision mbaya
Kosa lao ni moja tu kumleta Pochettino, kwenye timu mimi sioni makosa makubwa sana zaidi ya hayo niliyoeleza hapoo juu