Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijajua tuna tatizo gani ila IAN ni mchezaji mzuri na anaweza kutusaidia hiki kipindi ambacho timu inakumbwa na majeruhi kila dakika. Kule anaenda kuwa fire asee
Angalia Colwill alivyo mzito kwenye hiyo LB halafu kuna watu wanasema Pochettino ni Kocha, huyo hata angefundisha Championship team asingeweza kuipandisha daraja
 
Pochetino kichwa panzi , Collwill kumchezesha left back ni proven failure ,Ila haelewi
 
Hakuna creativity yeyote
Chelsea wamefanikiwa kutengeneza nafasi 2 dakika 6 za nyongeza tu ambazo zote zilipotezwa
Chelsea hawakupiga hata shot on target moja kabla ya dakika 6 za nyongeza
Pochettino akili yake imeishia hapo hata akiruhusiwa sasa hivi ashiriki Championship na hii timu hataweza kuirudisha EPL, tumepewa boya la kocha
Unang'ang'ania Colwill asiyeweza kushambulia, na ambaye ni mzito acheze LB wakati LB mzuri kama Maatsen tunamtoa bure, akili haifanyi kazi na sielewi kabisa hapo. Tungkuwa na LB natural leo tungukuwa tunategemea wings kutengeneza mashamulizi na kuoverload final third ya opponents
 
Tukubaliane tu hii timu yetu sasa ni sawa na ya mtaani, wachezaji kama wameokotwa okotwa na kocha naye kaokotwa sijui wapi

Madueke anajipigia tu bila kuchunguza kama wadau wapo golini na wadu wetu akina Sterling, Plamer wapo nyuma kama mabeki
 
Angalia Colwill alivyo mzito kwenye hiyo LB halafu kuna watu wanasema Pochettino ni Kocha, huyo hata angefundisha Championship team asingeweza kuipandisha daraja
Amchezeshe mchezaji gani sasa? Yupi mwenye energy kumzidi Colwill?

Japo kwa upande wangu sijaona tatizo kwa Colwill. Amecheza vizuri sijui wenzangu mpira mnauangaliaje
 
1704837725154.png
 
Tukubaliane tu hii timu yetu sasa ni sawa na ya mtaani, wachezaji kama wameokotwa okotwa na kocha naye kaokotwa sijui wapi

Madueke anajipigia tu bila kuchunguza kama wadau wapo golini na wadu wetu akina Sterling, Plamer wapo nyuma kama mabeki
Tuseme ukweli asilimia kubwa ya wachezaji ni average. Wanashtuka siku moja moja kucheza vizuri siku nyingine wanalala au wanaamua kutulia.
 
Middlesbrough ni ya 12 kwenye msimamo wa EFL Championship baada ya mechi 26
Ina majeruhi 14 wakati inaingia kucheza na Chelsea
Hii timu ina dhamani ya mil £61
Mara ya mwisho kushiriki EPL ilikuwa ni 2009
 
Tuseme ukweli asilimia kubwa ya wachezaji ni average. Wanashtuka siku moja moja kucheza vizuri siku nyingine wanalala au wanaamua kutulia.
No nop
Kumbuka Rudiger alikuwa very average kwa Lampard na alikuwa kidogo auzwe January, alipokuja TT akawa the best CB EPL
Kocha anashusha viwango vya wachezaji. Tena mkuu usisema hayo hadharani maana mashabiki wenye hasira wanaweza kukurushia mawe
Huyu kocha anatuharibia wachezaji
Yupo wapi Enzo wa Januari na Potter
Yuko wapi Caicedo
hana tatctics sijuio anachowaambia wachezaji dressing room
Very very embarssed
Hata mechi tulizoshinda ni supperficial performance tu no improvement tunaenda anticklockwise
 
Naenda kulala n9imepondeka mno hata kama tuna mechi ya marudiano hapa darajani ila kwa hii timu ta Poche-zero tegemea zero kabisa
 
No nop
Kumbuka Rudiger alikuwa very average kwa Lampard na alikuwa kidogo auzwe January, alipokuja TT akawa the best CB EPL
Kocha anashusha viwango vya wachezaji. Tena mkuu usisema hayo hadharani maana mashabiki wenye hasira wanaweza kukurushia mawe
Huyu kocha anatuharibia wachezaji
Yupo wapi Enzo wa Januari na Potter
Yuko wapi Caicedo
hana tatctics sijuio anachowaambia wachezaji dressing room
Very very embarssed
Hata mechi tulizoshinda ni supperficial performance tu no improvement tunaenda anticklockwise
Kocha hawezi kufanya kila kitu mkuu. Kuna wakati wachezaji wenyewe lazima wahusike kuipambania nembo. Palmer anakosa magoli ya yeye na kipa kocha afanyaje hapo? Offcourse siwezi kukataa kocha ana mchango kwenye hamasa ya timu ila tusimuangushie yeye jumba bovu peke yake tuna wachezaji wachovu, wajivuni na wameridhika.

Chelsea siyo ya kukaa namba 10 muda mrefu hivi, kuna upumbavu wa wachezaji hauvumiliki wamekaa kizembe. Huyu Madueke alipigwa bench mechi kadhaa akili ikamkaa sawa akarudi akafunga mechi 2 mfululizo mkaanza kumsifia humu ooh sio wa kukaa benchi haya angalia utumbo alioufanya leo? Hapa kocha utamlaumu nini ikiwa chezaji lenyewe halijielewi?
 
Hotuba ya Pochettino kuendea mechi ya Karabao Cup Semi Final na Middlesbrough:

"Watu wanaweza kufikiria, sawa ni Chelsea, lakini hiyo inatafsiri kwa timu na ikiwa tunaamini kuwa sisi ni Chelsea na tutashinda kwa sababu ya beji hii, nadhani tutakosea sana.

Tunahitaji kuwa wanyenyekevu
ili kutambua kwamba, kwenda huko na kusema tunahitaji kuwakimbiza, kuwa wakatili, wote kwa pamoja, kulingana na matamanio yao. Kwa hali hiyo labda tutapata nafasi ya kushinda."

Pochettino ni mlevi na anaweza kuwa wa bangi, nachukia hotuba zake, muongeaji kupita kiasi na maneno yake hayana ushawishi kwa wachezaji na mashabiki hata kidogo.
Tutegemee hiyo mechi wachezaji wataanza kucheza kimlenda mlenda na hakutakuwa na msukumo wowote
Mashabiki hawakuipenda hii hotuba zaidi ya zote alizowahi kutoa huyu mwehu na nadhani hata kule kwenye uongozi
Makocha wote wanawaamasisha wachezaji waingie uwanjan i na mori ya ukatili ili kutoruhusu timu pinzani kucheza na kuchez akwa nia ya kushinda yeye anawaambukizia unyenyekevu na huruma
Natumaini wachezaji hawatafanya kama alivyosema
View attachment 2866060
Wamemsikia na wamedamka ,huyu kocha ni ngiri hakuna kila kitu
 
Afadhali tumefungwa siku yangu imekuwa nzuri sana maana nilitaka kushangaaa Chelsea hii kweli ishinde wakati week ilio kwisha imeshinda hapo ni kawaida sana timu nzuri kocha mbovu wamiliki wa bovu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom