Lampad anapasha
Chelsick leo hamtoki...na lazima mutuachie wanaume hiyo nafasi yetu...game haijachangamka kabisa...bt WBA wanaanza kushambulia hapa dk ya 27
Umeona ubao unavyosomeka?
Mtafanya kz sn kurudi kileleni!
Anichebe nuksi sanaChelsea have conceded their first goal in 459 minutes,dk ya 88 w.brom 1 -chelsea 1
Anichebe nuksi sana
And finaly chelsea have lost two crucial points.its time now for man city and arsenal to correct their mistakes
Leo Sina shaka yeyote kuwa mnadraw na WBA...
Labda Refa afanye kama alivyofanya kwenye mechi ya kwanza..(Penati dk ya 94)...
Naitazamia kwa hamu battle ya Pale katikati baina ya Mulumbu na Yacob Vs Matic/Ramires/Lampard...
Yametimia....
Hawa WBA kwa mchezo wao ulivyo na Mfumo wa Chelsea game niliiona ngumu sana na draw imewatosha..
Ligi ngumu sana hii Wiki hii nafasi ya kwanza ijayo nafasi ya Tatu...