Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Kweli kabisa Ntuzu; sisi kwetu droo ni kama kufungwa hata majirani wanajua. Maana yake timu iko sawa; sisi hatufungwi na wakubwa; kuhusu kuwabania 'wakubwa' ni sawa kwa sababu ili uwe bingwa lazima uwafunge wakubwe wenzako.
:smile-big:
Hawa jamaa Wa ajabu sn! Mawazo Yao ni mgando sn!