Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu kesho tutakua ugenini dhidi ya WBA. Wale jamaa ni wabishi sn Lkn km tulimpiga City Etihad WBA Lazima wapigwe palepale ili tuendelee kua kileleni!
 
998141_691558160903102_1823844299_n.jpg

THE NEW BORRUSIA DORTMUND...BENFICA!

1780693_692279727497612_869306959_n.jpg

SIMPLY...

1797594_692478837477701_1130877270_n.jpg

HATERS' LOGIC

1609576_692478187477766_2123616908_n.jpg

CHELSEA HISTORY LOL... #FROMaHATER

1012049_691131924279059_22816526_n.jpg
 
Ila bana Chelsea tunatakiwa kutafuta mtu anayepiga fouls na corners perfectly...maana sasa hivi amebaki Lampard tu ambaye ukweli ni anazeeka. Kwa penalties i am sure any of the Brazilians, Hazard and most of the defence can do a good job when left with the keeper.

Ningependa kina Oscar, D. Luiz, Matic, Hazard, Willian na Ramires waanze ku-practice for such moments...corners and fouls...itasaidia sana. maana ile kona iliyosababisha penalty ilivyopigwa was sooo poor yule beki angejua wala asingehangaishana na Eto'o.
 
Oscar akipewa muda nadhani ni mzuri sana katika sekta hiyo, Luiz ni kama kapoteza his touch na kwa kiwango cha Hazard nashangaa kwa nini huwa hajaribu kupiga free kicks na corners
 
Mkuu Mentor asanate sn kwa picha nzuri!

Thread yetu imechangamka sn!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kesho tutakua ugenini dhidi ya WBA. Wale jamaa ni wabishi sn Lkn km tulimpiga City Etihad WBA Lazima wapigwe palepale ili tuendelee kua kileleni!

Kabisa mkuu, ila ninaamini kwa sasa hakuna atakayeweza kuisimamisha Chama Chelsea.. Mo kaja kivingine kabisa, Ramirez, Oscar, Hazard, Et'o hawakukosi... Utakaba wapi utaachia wapi lakini dk 90 lazima utakaa tu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom